Mama alala na mtoto wake wa kiume ( Mama Atengeneza Video ya Ngono na Mtoto Wake wa Kiume)

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125

6487722.jpg

Mojawapo ya picha za Mistie Rebecca Atkinson kwenye Facebook

Mwanamke mmoja wa nchini Marekani ametupwa jela miaka minne baada ya kutengeneza video ya ngono akifanya mapenzi na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 16.
Mistie Rebecca Atkinson mkazi wa California nchini Marekani ametupwa jela kwa kitendo chake cha kufanya mapenzi na mtoto wake wa kiume na kisha kurekodi video za ngono na mtoto wake huyo.

Rebecca mwenye umri wa miaka 32, aliungana na mtoto wake kwa mara ya kwanza mwezi oktoba mwaka jana baada ya kutokumuona kwa miaka 15 baada ya kuachana na baba wa mtoto huyo.

Kwa miaka yote 15 iliyopita mtoto huyo amekuwa akiishi na baba yake na bibi yake na hakuwa na mawasiliano yoyote na mama yake hadi mwishoni mwa mwaka jana wakati mama yake kwa kutumia facebook alipomtafuta na kuanza kuwasiliana naye na kumtumia picha za utupu.

Mtoto huyo alijua fika kuwa Rebecca ni mama yake mzazi lakini alikuwa akiwasiliana naye wakitumiana picha za ngono.

Bibi wa mtoto hyo na ndugu zake waliripoti polisi mwezi oktoba mwaka jana kuwa Rebecca anamtumia mtoto wake picha za ngono kwa kupitia facebook.

Mtoto huyo ambaye polisi walimuelezea kuwa "Hasikii la kuambiwa" alikuwa akitoroka nyumbani kwao na kwenda kukutana na mama yake pamoja na kwamba kulikuwa na mipango mingi ya kumzuia mtoto huyo kukutana na mama yake.

Polisi waliwavamia wawili hao walipokuwa wakila uroda hotelini mwezi machi mwaka huu.

Polisi walikuta video kwenye simu ya mtoto huyo ambayo ilimuonyesha Rebecca akimnyonya mwanae sehemu zake za siri kabla ya kufanya naye mapenzi. Video hiyo ilirekodiwa na mwanae huyo wa kiume.

Rebecca alifunguliwa mashtaka ya kufanya mapenzi na mwanae, kufanya mapenzi na mtoto chini ya umri wa miaka 18 na kutengeneza video za ngono na mtoto.

Rebecca alijitetea kuwa hakutakiwa kufunguliwa mashataka hayo kwakuwa kuna kitu kinachoitwa "Mvuto wa Kinasaba" ambao huwa na nguvu kubwa ya kuwaunganisha ndugu waliokuwa hawajaonana siku nyingi.

Hata hivyo utetezi wake haukukubaliwa na jumatano ya wiki iliyopita hukumu ilitolewa ambapo Rebecca alihukumiwa kwenda jela miaka minne na miezi 8.

<tbody>
</tbody>
Mama Atengeneza Video ya Ngono na Mtoto Wake wa Kiume
 
Sijui tunaenda wapi jamani, tutachomeka sie hiyo siku ikifika, sipati picha...Laana, laana, laana. Mtoto mwenyewe alimzaa yeye akiwa mtoto (16yrs) miaka 16 iliyopita.

Dunia kwisha yaan hata siewi, hivi vitu zamani vilikuwepo au ni huu utandawazi unatugharimu?
Dunia haijakwisha mama tu ana laana ya ngono ame Miss mwanawe miaka 15 ndio akaona bora ale Uroda na Mwanawe akaona haitoshi tu kula uroda na Mwananwe akaona bora atengeneze Film ya ngono anakula uroda na mwanawe kasheshe kweli nyie akina mama mnakula raha zenu Paka amla mtoto wake huyooooooooooobibie hujambo lakini? ummu kulthum
 
alhamdulilah namshukuru akiyeniumba nipo vyema.wa mtazamo wangu wazungu ndio wamelaaniwa vibaya mno kuliko waafrica yaaaan wana maduduuuuu mengi hawa yaaaan hadi napata kin'gun'gumizi cha mikono.
 
Ulimbukeni wa huyo mama
Kuna mvuto gani aliouona kati yake na mtoto mpaka akubali kufanya hayo
Hakuna lolote wala hakuna mvuto wowote
 
6487722.jpg

Mojawapo ya picha za Mistie Rebecca Atkinson kwenye Facebook

Mwanamke mmoja wa nchini Marekani ametupwa jela miaka minne baada ya kutengeneza video ya ngono akifanya mapenzi na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 16.
Mistie Rebecca Atkinson mkazi wa California nchini Marekani ametupwa jela kwa kitendo chake cha kufanya mapenzi na mtoto wake wa kiume na kisha kurekodi video za ngono na mtoto wake huyo.

Rebecca mwenye umri wa miaka 32, aliungana na mtoto wake kwa mara ya kwanza mwezi oktoba mwaka jana baada ya kutokumuona kwa miaka 15 baada ya kuachana na baba wa mtoto huyo.

Kwa miaka yote 15 iliyopita mtoto huyo amekuwa akiishi na baba yake na bibi yake na hakuwa na mawasiliano yoyote na mama yake hadi mwishoni mwa mwaka jana wakati mama yake kwa kutumia facebook alipomtafuta na kuanza kuwasiliana naye na kumtumia picha za utupu.

Mtoto huyo alijua fika kuwa Rebecca ni mama yake mzazi lakini alikuwa akiwasiliana naye wakitumiana picha za ngono.

Bibi wa mtoto hyo na ndugu zake waliripoti polisi mwezi oktoba mwaka jana kuwa Rebecca anamtumia mtoto wake picha za ngono kwa kupitia facebook.

Mtoto huyo ambaye polisi walimuelezea kuwa "Hasikii la kuambiwa" alikuwa akitoroka nyumbani kwao na kwenda kukutana na mama yake pamoja na kwamba kulikuwa na mipango mingi ya kumzuia mtoto huyo kukutana na mama yake.

Polisi waliwavamia wawili hao walipokuwa wakila uroda hotelini mwezi machi mwaka huu.

Polisi walikuta video kwenye simu ya mtoto huyo ambayo ilimuonyesha Rebecca akimnyonya mwanae sehemu zake za siri kabla ya kufanya naye mapenzi. Video hiyo ilirekodiwa na mwanae huyo wa kiume.

Rebecca alifunguliwa mashtaka ya kufanya mapenzi na mwanae, kufanya mapenzi na mtoto chini ya umri wa miaka 18 na kutengeneza video za ngono na mtoto.

Rebecca alijitetea kuwa hakutakiwa kufunguliwa mashataka hayo kwakuwa kuna kitu kinachoitwa "Mvuto wa Kinasaba" ambao huwa na nguvu kubwa ya kuwaunganisha ndugu waliokuwa hawajaonana siku nyingi.

Hata hivyo utetezi wake haukukubaliwa na jumatano ya wiki iliyopita hukumu ilitolewa ambapo Rebecca alihukumiwa kwenda jela miaka minne na miezi 8.

<tbody>
</tbody>
Mama Atengeneza Video ya Ngono na Mtoto Wake wa Kiume

Actually ni kwamba, wazungu si binadamu, ni viumbe tu fulani wanaofanana na binadamu, nawasikitikia sana wale wanaofanya jitihada kila kukicha kuwaiga. Unahitaji kuwa na IQ ya hali ya juu sana kunielewa na humu ndani wako wachache sana, FACT.
 
Back
Top Bottom