Malumbano

Buyaka

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
1,643
1,786
Kisa na mkasa yalonikuta dah!
Subiri kwanza machozi nafuta
Nikikumbuka jinsi nilivyopataga
Msichana mrembo mtam kama Matata
Nilipopata nilidhani nimepata
Kumbe nimepatikana
Mitaa ya kati sasa sitaki kupita
Mwenzenu mi naona noma
Umalaya chati kashika
Anagawa kwa kila rika
Hebu shika talaka nendaa nendaa
Mambo uliyotenda
Kuyavumilia nimeshindwa
Nendaa, nendaa, nendaa
Hata kama zamani nilipenda

Ya nini malumbano

Ya nini maneno

Najiweka pembeni

Naepusha msongamano

Bora nitulie

Ningoje changu na mie

Mola nijalie

Haya yasijirudie


Mengi nimevumilia

Hayapungui yanazidia
Hivi kwa nini my dear
Ama hujui kwamba naumia
Pombe kichwani umeingia
Eti saa nzima walia
Mi ghetto nishajilalia
Kitandani ukatapikia
Kigezo sikukupenda
Eti kupenda nisikopenda
Sasa kwa nini unanitenda
Au ndo malipo ya kukupenda
Nisichopinga ni kwamba
Ukweli nilikupenda
Nilichoshindwa ni kuvumilia
Unayotenda baby
Nendaa, nendaa, nendaa
Hata kama zamani nilipenda.

Washikaji walinambia

Kwamba demu ni kiruka njia
Nilidhani wamenipangia
Kunikandia nikapuuzia
Chezo lilipoanza
Nilidanganyaga naenda Mwanza
Kurudi kitu cha kushangaza
Nakuta kidume
Kimejilaza ghetto
Nendaa, nendaa, nendaa
Hebu shika talaka nenda
Bbaby girl baby nendaa
Mambo uliyotenda
Kuyavumilia nimeshindwa mie
Nendaa, nendaa, nendaa
Hata kama zamani nilipend
a
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom