Malori 250 ya Tanzania yashikiliwa DRC siku 45 sasa

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,447
7,832
Malori 250 ya watanzania yaliyobeba copper yanashikiliwa nchini Congo kutokana na mgogoro wa kodi baina ya Serikali ya Congo na kampuni za madini zilizopakia mzigo huo.

Malori hayo na madereva wake wamekwama kwenye mpaka wa Kalumbesa.

Balozi wa Tanzania nchini Kongo, Said Mshana amethibitisha hali hiyo na kusema ofisi yake inashulikia kulitatua

"Hili jambo ni la kidiplomasia zaidi na linatakiwa kushughulikiwa likifata hatua zote. Kama tukipanik na baada ikaja kugundulika kweli kuna tatizo la kodi tutaonekana tunawalinda wakwepa kodi, kitu ambacho hata nchini kwetu tunapambana nacho. Alisema Mshana.
 
Back
Top Bottom