mchukiaufisadi
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 546
- 193
Taarifa ni nzito sana. Hali ndani ya PPF ni tete. Hivi usalama wa huyu Mhasibu Mkuu utakuwepo? Serikali kama inalifanyia kazi basi impe ulinzi huko Mbeya.
Taarifa toka ndani ya PPF zinasema ilitumwa timu ya watu wawili Mbeya kubebe komputa yake yeye akiwa hayupo. Timu hiyo iliondoka DSM usiku na kutinga Mbeya mchana, wakang'oa computer yake mpaka mouse na kuondoka mchana huohuo.
Je matumizi ya fedha za per diem za maofisa wawili na dereva pamoja na mafuta ya gari, kweli ufisadi hulindwa kwa gharama zozote zile.
per diem- officers 2X145,000X3=870,000
Driver 1X125,000X3=375,000
Mafuta lt 300X2000=600,000
Jumla bila uchakavu 1,845,000
Minimum pensioners 37 X50,000=1,850,000. Pesa ya kulipa wastaafu 37 imechezewa ili kuikwapua komputa ya aliyekuwa Mhasibu Mkuu, Je watashindwa kumuua ili kuondoa ushahidi?