Dawa ni kuchukua hela zetu tu. Haiwezekani tukachezewa hivyo.
Tanzania itajengwa na wenye moyo na tena italiwa na wenye meno. Vibogoyo tukae kimya
Dawa ni kuchukua hela zetu tu. Haiwezekani tukachezewa hivyo.
wanatumia scales za PPF chini ya erioNahisi kichwa kuuma na kizungu zungu!
Kwa nini watumie scale za marekani na ulaya kujilipa?? hii nchi ni maskini jamani..
Basi aseme watapokea zaidi ya bilioni, sio "watapokea mamilioni (jumla zaidi ya bilioni)"!Ukijumlisha mamilioni hupati bilioni?
Basi aseme watapokea zaidi ya bilioni, sio "watapokea mamilioni (jumla zaidi ya bilioni)"!
Uki sound kama innumerate au illiterate fulani basi hata mada yako nzima mtu anaishukushuku.
Katika fikra zako ambazo ni very numerate and literate (whatever that means) unaamini umetafsiri kwa usahihi kauli hii kwa Kiswahili?
receive from (the) fund millions of Tanzanians shillings (over a billion in total)
Ukijumlisha mamilioni hupati bilioni?
1,000,000,000 (one billion, short scale; one thousand million, long scale) is the natural number following 999,999,999 and preceding 1,000,000,001.
Mbona hata chenyewe hatujakiweka...? Halafu wapo wanaosema ati niko Usalama wa Taifa! I hate them with a passion aisee!
Nadhani unahitaji kurudi primary kama siyo chekechea.
Mwenzio katoa hoja jibu kama una hoja na siyo kuleta ubishi wa kike hapa
100 mil * 10 = ????
Mbona hata chenyewe hatujakiweka...? Halafu wapo wanaosema ati niko Usalama wa Taifa! I hate them with a passion aisee!
Mbona haya tumedokeza kidogo tu jamani... tutajitahidi kulimaliza kabla ya wiki, inshallah.
Mwanakijiji ajuacho ni ufataani tu, kunamengi kachakachuwa na kutia yake na zionekane ni habari za kweli. Uongo mtupu.
Haiwezekani Salary Mil 176 acheni uongo.
Hizo vocha zimechakachuliwa ili ziwaharibie watu majina
Kuna wakati nafikia kufikiri kuwa nchi hii haina viongozi! Haina watu wenye dhati na maendeleo ya nchi hii. No even one leader to say NO to what is happening to our country. How could someone let some people to have a BIG portion of CAKE like that while others starving to death luck of food, shelter and medication! At the same time wanaendelea kutuimbia kale ka wimbo SISI NI NDUGU NA AFRICA NI MOJA! Shame! Hawa wanatakiwa wanyongwe hadi wafe kwa kusababisha maisha ya Watanzania walio wengi kuwa hatarini kiasi hiki! Makato ya mfanyakazi mnyonge wa nchi hii mnafanya ndo mafao ya kujitajirisha bila aibu! Mimi tangu mwaka jana nadai mafao yangu pale PSPF. Tangu june last year to date nothing have been done. Its just last week I heard that PSPF wanaidai Serikali 300Bilion. Fedha ambazo nimezitumikia tangu 1981 to date silipwi halafu watu wanajilipa 176,225,250! where are we hearding to guys! Something need to be done here! Sijui tunaanzia wapi ila Mungu atatuongoza kufikia mabadiliko ya lazima.
Mwanakijiji ajuacho ni ufataani tu, kunamengi kachakachuwa na kutia yake na zionekane ni habari za kweli. Uongo mtupu.
Andika "...watapokea mamilioni ya shilingi kila mmoja, jumla zaidi ya bilioni..."Katika fikra zako ambazo ni very numerate and literate (whatever that means) unaamini umetafsiri kwa usahihi kauli hii kwa Kiswahili?
receive from (the) fund millions of Tanzanians shillings (over a billion in total)
Tumechoka na wizi huu mchana mchana no wonder Mkapa alimuweka mpwae aliyemsomesha kabla ya ku-retire William Erio ili a-facilitate wizi wa michango yetu.
BTW, hivi TUCTA haiwezi kusimamia hili wafanyakazi wote tukasitisha kupeleka michango yetu PPF na NSSF hadi sheria zilizoazisha mashirika hayo zibadilishwe tena kwa HATI YA DHARARULA ili
Wafanyakazi (wanachama) tuwe na direct say kwenye mashirika hayo
Bila kuzifanyia malekebisho sheria ya bunge zilizoanzisha mashirika haya michango yetu itaendelewa kufisadia kwa msaada wa CCM. Jamani wafanyakazi tuamuke HAKI haitolewi kwenye kisahani cha dhahabu ENOUGH IS ENOUGH, Together we stand apart we fall TUCTA please lead this war. This is the same PPF iliyompatia Fredrick Sumaye soft loan (loan without interest) ya 500 millions wakati wa Mataka ili hali Sumaye si mwanachama wa PPF, wakati huo Sumaye alikuwa mwanachama wa PSPF. Hivi watanzania tumerogwa nani? Very one seems to think its non of his business, tuki retire ndiyo tunaanza kulalama
- Tuweze kumchagua MD
- Tuwe na wawakilishi kwenye bodi ya wakurugenzi
- Tuwe na direct say kwenye malipo ya pensheni
- Direct say kwenye investment za mashirika
- Direct say ya ku-hire and fire MD
Kama tunategemea JK na serikali yake atamuchukulia hatua William Erio and its cronies that will never happen, I bet my neck! Sana sana atachofanya atasubiri mda wake ukikaribia kumalizika ataweka mtu wake kama Mkapa.
Andika "...watapokea mamilioni ya shilingi kila mmoja, jumla zaidi ya bilioni..."
Andika "...watapokea mamilioni ya shilingi kila mmoja, jumla zaidi ya bilioni..."
Mwanzoni kabisa mwa madai yako ukianza na madudu ya hesabu na sarufi unaonekana huyu ninaemsoma hapa ni innumerate au half-illiterate fulani. Msomaji anasita kukipa uzito ulichoandika.
Chukulia kama wazo la kiuandishi, usibweteshwe na hawa thenashara wako wanaomeza kila unachoandika ambao wakiona umekosolewa wanapiga yowe "Pimbi huyo...hoja za kike." Ukizungukwa na wafuasi dizaini hiyo nyote mnapotea maana hao wote wanategemea uwasaidie kupata uelewa. Tatizo mfumo wa elimu yetu.
Illiteracy sio non-issue. Hapa sio Michuzi.Taso,
Mbona umeshupalia non issues?