prakatatumba
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 1,328
- 190
Waathirika wa mabomu Gongo la mboto wamesusia hundi za malipo yao ya uharibifu wa vyombo,mama mmoja akiojiwa amesema hawezi kupokea hundi ya malipo ya elfu moja(1000/=) wakati nauli ya kufuatilia ametumia elfu kumi na tano.Mkuu wa mkoa amesema wapeleke malalamika yao kwake halafu yatashughulikiwa lasvyo hela inarudishwa hazina.(WAPO REDIO 98:00,HABARI YA SAA SITA MCHANA)