mimba ya Diamond hiyo wakati ule alipoenda State...mapenzi yao yalianza wakati ule Obama na wanae walipokuja bongo
Kweli wewe ni Mzaramo halisi.
mimba ya Diamond hiyo wakati ule alipoenda State...mapenzi yao yalianza wakati ule Obama na wanae walipokuja bongo
Fastjet si ndio huwa anapendelea sana kupaa huko state kila mwezi! Wakimhoji vizuri huyo mtoto ardhi ya Tanzania itatikisika.

U made my day!!!!!
Hebu acheni uongo bana....mtoto wa prezidaa wa US unampatia wapi ili hali bodigadi saa zote yupo hapo mattercony...wale wanawekewa hata tracking divice kwenye kucha, ukiomba tu mzigo spika zote za white house zinasema "tangazo tangazo......"
Du miaka 16 si atafungwa aliempachika mimba?
Hebu acheni uongo bana....mtoto wa prezidaa wa US unampatia wapi ili hali bodigadi saa zote yupo hapo mattercony...wale wanawekewa hata tracking divice kwenye kucha, ukiomba tu mzigo spika zote za white house zinasema "tangazo tangazo......"
ukiomba tu mzigo spika zote za white house zinasema "tangazo tangazo......"
Nimeongea na Obama jana... si habari za kweli