Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Hivi kuwa sema waizi mpaka uajliwe..Tangu lini umekuwa msemaji wa ccm wewe
Hivi kuwa sema waizi mpaka uajliwe..Tangu lini umekuwa msemaji wa ccm wewe
Lipi Mkuu?Siyoi kazua gumzo!
Lakini Lusinde yupo huku anamwakilisha tingatinga
............du! hapo penye red panamtia doa sana huyu sharobaro!!!!! siku hizi hata ukiwakutanisha jogoo wa mtaa wa saba na sita hawapigani, sembuse sisi binadamu? hafai huyu, akapambane na akina Maugo na Cheka kule Morogoro
Huyo Sio atabebeka vipi wakati alipo kuwa CRDB hakubebeka?? na Tabia furani ambayo wafanyakazi wengi wa CRDB hawakuipenda alikuwa anajiona sana na kujitenga sana na anatabia ya kumpiga mkewe.
My Take;
Kiongozi kama Mr.Sio, kama katika jamii ndogo tu ya CRDB arishindwa kujiweka vyema na wafanyakazi wenzake wapi na wapi ataweze kuwaongoza ndugu zake hao wa Arumeru mashariki vyeo vingine sio vya kupena tuu kwakuwa ati baba alikuwa hivi fight kama wewe na usibebwe.
Kama Mr.Sio amepita kwenye kura za maoni ndani ya CCM kwa style hii ya kipitisha vijisent je CCM huko iendako itapona kweli hawa ndio vijana walio kuwa wanategemewa na CCM kuibadiri CCM na dhahili sasa twaona CCM inaporomoka Makamba January ndg yangu hapo CCM hamto paweza kabisa kwa style hii ya wenzako wanayo kwenda, Kuwa vibaraka wa viongozi walipo
siku zote utaiona ccm takataka ukiwa nje
Waziri Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti Msataafu wa CCM, John Samwel Malecela maarufu kama 'Tingatinga',ametafsiriwa na wachambuzi wa mambo kama mtu asiyemuunga mkono mgombea wa CCM katika Jimbo la Arumeru Mashariki,Siyoi Sumari.
Malecela amejiweka mbali na kampeni zinazoendelea za chama chake.Malecela alipofuatwa ili aongozane na 'Uncle Benny' aka 'Mjuzi wa ukoo' aliruka kimanga kuelekea huko akionyesha dhahiri kutoridhishwa kwake na mchakato mzima wa kumpata Siyoi. Malecela amesoma alama za nyota?