Malecela: Siyoi habebeki, hapambiki..

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Waziri Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti Msataafu wa CCM, John Samwel Malecela maarufu kama 'Tingatinga',ametafsiriwa na wachambuzi wa mambo kama mtu asiyemuunga mkono mgombea wa CCM katika Jimbo la Arumeru Mashariki,Siyoi Sumari.

Malecela amejiweka mbali na kampeni zinazoendelea za chama chake.Malecela alipofuatwa ili aongozane na 'Uncle Benny' aka 'Mjuzi wa ukoo' aliruka kimanga kuelekea huko akionyesha dhahiri kutoridhishwa kwake na mchakato mzima wa kumpata Siyoi. Malecela amesoma alama za nyota?
 
Hiyo ni nzuri na inastahili pongezi kubwa, huyu Mzee John Samwel ara Malecela ndiye mpambanaji mzuri katika kupinga rushwa nchini, yeye pia aliondolewa kwenye kura za maoni na mtoto wa ndugu yake Balozi Job Lusinde Malecela aitwaye Kibaj asiye na fadhila ila anziombea kwa wengine.
Bravo mzee Tingatinga acha Ben aumbuke peke yake.
 
Waziri Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti Msataafu wa CCM, John Samwel Malecela maarufu kama 'Tingatinga',ametafsiriwa na wachambuzi wa mambo kama mtu asiyemuunga mkono mgombea wa CCM katika Jimbo la Arumeru Mashariki,Siyoi Sumari.

Malecela amejiweka mbali na kampeni zinazoendelea za chama chake.Malecela alipofuatwa ili aongozane na 'Uncle Benny' aka 'Mjuzi wa ukoo' aliruka kimanga kuelekea huko akionyesha dhahiri kutoridhishwa kwake na mchakato mzima wa kumpata Siyoi. Malecela amesoma alama za nyota?
Tangu lini umekuwa msemaji wa ccm wewe
 
Ana bifu na kambi ya Lowasa si mnakumbuka ugomvi wake na Sophia Simba..otherwise ni kweli Sioyi abebeki.
 
Tingatinga watu wanam-degrade lakini sometime yupo fit kimtazamo sana. Siyoi hata CCM wenyewe wanajua wazi kuwa wamechemka mazima! Wanaoenda Arumeru ni kutimiza wajibu wa Chama na moyoni wanajua wazi kuwa hakuna lolote mbeleni! Halafu inanishangaza mawaziri kwenda kupiga campaign kule Meru, ni woga au kitu gani?
 
Wazee walishaambiwa na magamba wapumzike, inashangaza Mkapa somo hakulielewa akaingizwa mkenge kwenda kufungua kampeni kichwa kichwa;
 
Huwa nachoka pale wanapochomekea kuwa Mfuteni machozi Sioai sijui Sioni huwa nachoka!
 
C.C.M wanashangaza sana, hivi wanawezaje kumsimamisha mtu kama Sioyi kugombea ubunge? Mimi nimebahatika kusikiliza kampeni zake kwa uchache, kwa kweli hana analolijua kabisa kuhusu siasa wala Arumeru Mashariki.
 
Waziri Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti Msataafu wa CCM, John Samwel Malecela maarufu kama 'Tingatinga',ametafsiriwa na wachambuzi wa mambo kama mtu asiyemuunga mkono mgombea wa CCM katika Jimbo la Arumeru Mashariki,Siyoi Sumari.

Malecela amejiweka mbali na kampeni zinazoendelea za chama chake.Malecela alipofuatwa ili aongozane na 'Uncle Benny' aka 'Mjuzi wa ukoo' aliruka kimanga kuelekea huko akionyesha dhahiri kutoridhishwa kwake na mchakato mzima wa kumpata Siyoi. Malecela amesoma alama za nyota?

Sidhani ni kwasababu ya kutomkubali Sioi Sumari. Mzee Malecela hawezi kwenda Arumeru Mashariki kwasababu yupo LIVINGSTONE LUSINDE. Huyu ndiye mbaya wake nambari one.

Mzee Malecela kwenye kura za maoni jimbo la Mtera alifanya FAIR PLAY, hakutaka kutumia RUSHWA. Lakini Livingstone Lusinde kwa kutumia pesa za Baba yake akagawa RUSHWA kwa wajumbe wa CCM. Kwa kuwa CCM siku hizi wao wanataka VIPEPE-RUSHWA na sio VIPEPERUSHI wajumbe wa CCM wakamchagua Livingstone.

Mzee Malecela tena kwa heshima akawaomba japo wamkemee Livingstone kwa kugawa rushwa kwa wajumbe wa mkutano. CCM wakampuuza na kumwambia IT IS A SOUR GRAPES.

Hivyo mzee Malecela kwanza ana DONGE na CCM Pili Livingstone Lusinde. Hawezi kamwe kukanyanga Arumeru Mashariki.
 
Unless you substantiate the quoted phrase below by citing the source.

"Malecela alipofuatwa ili aongozane na 'Uncle Benny' aka 'Mjuzi wa ukoo' aliruka kimanga kuelekeahuko akionyesha dhahiri kutoridhishwa kwake na mchakato mzima wa kumpata Siyoi."
 
Waziri Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti Msataafu wa CCM, John Samwel Malecela maarufu kama 'Tingatinga',ametafsiriwa na wachambuzi wa mambo kama mtu asiyemuunga mkono mgombea wa CCM katika Jimbo la Arumeru Mashariki,Siyoi Sumari.

Malecela amejiweka mbali na kampeni zinazoendelea za chama chake.Malecela alipofuatwa ili aongozane na 'Uncle Benny' aka 'Mjuzi wa ukoo' aliruka kimanga kuelekea huko akionyesha dhahiri kutoridhishwa kwake na mchakato mzima wa kumpata Siyoi. Malecela amesoma alama za nyota?

Huyo Sio atabebeka vipi wakati alipo kuwa CRDB hakubebeka?? na Tabia furani ambayo wafanyakazi wengi wa CRDB hawakuipenda alikuwa anajiona sana na kujitenga sana na anatabia ya kumpiga mkewe.

My Take;
Kiongozi kama Mr.Sio, kama katika jamii ndogo tu ya CRDB arishindwa kujiweka vyema na wafanyakazi wenzake wapi na wapi ataweze kuwaongoza ndugu zake hao wa Arumeru mashariki vyeo vingine sio vya kupena tuu kwakuwa ati baba alikuwa hivi fight kama wewe na usibebwe.

Kama Mr.Sio amepita kwenye kura za maoni ndani ya CCM kwa style hii ya kipitisha vijisent je CCM huko iendako itapona kweli hawa ndio vijana walio kuwa wanategemewa na CCM kuibadiri CCM na dhahili sasa twaona CCM inaporomoka Makamba January ndg yangu hapo CCM hamto paweza kabisa kwa style hii ya wenzako wanayo kwenda, Kuwa vibaraka wa viongozi walipo

Back
Top Bottom