Chigwiyemisi
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 531
- 225
Waziri mkuu mstaafu Mh. John Samwel Malechela amesema hakuna haja kwa rais kupunguziwa madaraka kwa sasa kwa sababu nchi yetu bado changa. Ameyasema hayo wakati akitoa maoni yake kwa tume ya marekebisho ya katiba. Kwa jinsi nionavyo maCCM hayataki kabisa madaraka ya rais yapunguzwe.
Source: ITV
Source: ITV