Malawians voice anger against farting bill

Che Kalizozele

JF-Expert Member
Jul 20, 2008
777
49
Thursday, February 10 12:27 am
Residents in Malawi's financial capital Blantyre have reacted angrily at government attempts to criminalize farting in public. The Local Courts Bill, to be introduced next week, reads: "Any person who vitiates the atmosphere in any place so as to make it noxious to the public to the health of persons in general dwelling or carrying on business in the neighbourhood or passing along a public way, shall be guilty of a misdemeanour."

The bill will also attempt to deal with citizens who hinder the burial of dead bodies as well as people who pretend to be fortune tellers.
Many feel that there are better issues that the government needs to discuss. Local Topsi Ganzalesi said: "We can't allow that. We all fart. Where do they think we could go and fart? That is no issue to debate upon."
College student, Matthews Phiri, was not alone in saying he could not understand how the government hoped to enforce the new law - adding to widespread criticism that the new law is a giant waste of public funds.

"We all fart in public and it will be difficult to tell who has done it. Some do it silently. It some cases it is like teargas which goes like shhhh! Our legislators need to concentrate on discussing development projects. They should not waste our time and money on childish issues. It would make sense if they talked about defecating and urinating anyhow but not farting. This will not work. We will keep on farting." he said.

Ukishangaa ya Mussa,utayaona ya Firauni.Pamoja na kuiweka katika jokes lakini hii issue inaonekana ni ya ukweli,ipo yahoo news, You know what we will keep on farting.Ama kweli duniani kuna mambo.
 
Hakika hapo ndipo unaona ufinyu wa kufikiri mambo ya maana uko kwa kiwango gani. Next itakuwa woet ambao hawanyoi pubic areas washughulikiwe. Huo ukaguzi mwanangu usipime. Haya tuone itakuwaje.
 
Lakini naona media zime exaggerate sana hii issue! Ukisoma hiyo provision jinsi ilivyo haielekei kama intent ilikuwa hasa ni kuzuia watu kujxmbx.
 
Ama kweli ukistaajabu ya Musa!.................na hao ndio watumiaji wa kodi za wananchi wa Malawi!
 
wangeidentify ni ushuzi wa namna gani maana kuna wa kimya kimya, kuna wa sauti ya juu kuna mwingine unatoka na sauti mpaka unaweka nukta mwingine kama wa indirah ghand so wawe wazi kuutaja
 
wachafuwa mazingira utawajuwa tu, wataiponda hii kanuni kwa nguvu zote.
 
OMG kweli nchi zetu za kiafrika bado sana kwenye utambuzi wa shughuli za msingi. swali linalokuja mtu akishajamba public watamtambuaje au ndo kunusana kwenye mitaa ya nyaa
 
Back
Top Bottom