Malawi wamfikisha mahakamani mwandishi aliyedanganya kufukuzwa kwa balozi wa Tanzania

Asante kwa taarifa.

Huyu Mponda jina lake si geni sana kwa makabila ya Tanzania, kama sijakosea jina kama hilo huenda ni kutokea ukanda wa ziwa Nyasa, au kusini nyanda za juu, la sivyo mikoa ya kati ya Tanzania.

Ukiwa nchi za wenyewe jitahidi kuandika habari kwa uadilifu na ukweli, maana uandishi huu tuliouzoea Tanzania wenzetu wanatushangaa sana.

Mponda atakuwa Myao. Hapa kwetu wapo kule Tunduru. Kule Malawi ni jamii ya akina Bakili Muluzi hata akina Mutharika(Mtalika) na akina Banda ni wayao historically.
 
Asante kwa taarifa.

Huyu Mponda jina lake si geni sana kwa makabila ya Tanzania, kama sijakosea jina kama hilo huenda ni kutokea ukanda wa ziwa Nyasa, au kusini nyanda za juu, la sivyo mikoa ya kati ya Tanzania.

Ukiwa nchi za wenyewe jitahidi kuandika habari kwa uadilifu na ukweli, maana uandishi huu tuliouzoea Tanzania wenzetu wanatushangaa sana.

Mponda ni jina la watu wa Morogoro mkuu.
 
Back
Top Bottom