KIDUNDULIMA
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 966
- 537
Nimecopy hicho kipengele hapo toka kwenye attachment yako ya MALAWI1.pdf
Maelezo ya Chiume ni sawa lakini haikuwa mwaka 1956. Inasemekana ni mwaka 1898 siyo wakati wa kujuisha Malawi kwenye Rhodesian Federation ila ni wakati wa kuweka kuhakiki mpaka unaotenganisha Malawi, Zambia na Tanzania
"The present alignment of the boundary between the lakes was not determined in detail until decisions were reached by a joint boundary commission in 1898 and an agreement was signed by the United Kingdom and Germany in 1901."
Kama vipi google "ibs037.pdf" usi-iclude hizo inverted commas
naona chiume alikuwa anamtumainisha mwalimu ili amuunge kwenye upinzani wake dhidi ya banda