Malawi Continues Lake Oil Exploration, Tanzania Denies Military Deployment

muhosni

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,108
152
MALAWI, LILONGWE | October 08, 2012

UK-based petroleum company Surestream plans to go ahead with its oil exploration on Lake Malawi despite the escalating tensions between Malawi and neighboring Tanzania over ownership of part of the water body.

Surestream General Manager Keith Robinson has disclosed that the company plans to start bringing in equipment, including aircraft and a 70-meter-long vessel with advanced laboratory equipment capable of detecting oil or gas deposits even beyond the lake base.

A noon news bulletin aired on October 7 on Malawi’s private radio station Zodiak Broadcasting quoted Robinson as saying a team of experts will be in Malawi by the end of this year.

He said Surestream’s exploration would be conducted off the shore of Karonga and Nkhotakota North in the northern and central regions of Malawi. Those areas have the potential for huge deposits of oil and gas, Robinson said.

But Malawians say they have not yet been given a chance to consider the pros and cons of oil drilling on the lake.

And Surestream faces opposition from Tanzania, which claims half of the lake as its territory. (Malawi claims the entire lake based on century-old treaties signed between then-colonial powers Great Britain and Germany.)

Tanzanian newspapers last week quoted Minister of Foreign Affairs Bernard Membe saying government officials had spoken to Malawi, asking for a halt to the exploration with immediate effect, and that disregarding the request would be considered an act of aggression.

The Malawi government has insisted that it is working to resolve the issue through negotiation.

Tanzanian authorities on October 6 denied reports that they had deployed military vessels on the lake (known in Tanzania as Lake Nyasa) and also denied allegations that Tanzanian security forces were harassing Malawians who were using the lake.

Membe said his country was carrying out “normal” patrols on the water body. He added that several people, including two Malawians, were found to be fishing illegally on the Tanzanian side of the lake.

“This, however, does not mean that we have been actively targeting Malawians,” Membe told The Citizen newspaper. He added that Tanzania would continue to pursue diplomatic means, including seeking mediation, to end the dispute with Malawi.

Malawian President Joyce Banda said on October 2 that her government would take the border dispute case to the International Court of Justice, after several attempts at talks between the two countries ended in failure.

Lilongwe has also accused Dar es Saalam of provocation by releasing a new map at the end of September that shows the border between the two countries passing through the middle of the disputed lake.

Membe said he did not believe the new map was the only reason that Malawi had pulled out of the talks.

He challenged Banda on her decision to involve the international court, adding that Tanzania will propose a mediator “even if Malawi does not return to the negotiations.”

Tanzania wants an international mediator to be appointed from among former African presidents in the 15-nation Southern African Development Community trade bloc, of which both Tanzania and Malawi are members.

Chanzo: Malawi Continues Lake Oil Exploration, Tanzania Denies Military Deployment | OOSKA News
 
Mvua iliyotabiriwa inanyesha sana hapa Jengo la Utabiri wa hali ya hewa Makao Makuu. Wamepatia kweli
 
Leo nimejitahidi sana kuiwahi nisije nikakutana nayo hadi sasa sijaiona wala upepo wake siusikii, ngoja tusubiri siku zote Tanzania huwa tunatumia masaa ya magharibi
 
Mgogoro kama huu ulitokea huko Caspian sea kati ya Iran na Azerbaijan mwaka 2001

Angalia kwenye link hiyo hapo chini jinsi Mwingereza anavyoshirikiana na Mmarekani kwenye mambo ya mafuta. Kama ilivyo Malawi kampuni ya utafiti inatoka Uingereza ila masuala ya usalama yamesimamiwa na Mmarekani. Dah! Tanzania inabidi tuombe msaada China au Urusi mapemaaaa

Nimeipenda ya Iran kuweka gunboat na kusema haitambui hiyo mikataba iliyoingiwa na Azerbaijan na hata kuifukuza BP kufanya kufanya utafiti

Iran raises the stakes in Caspian dash for oil - Telegraph
 
Tanzania ni lazima tusimame kama taifa huru, tuilinde mipaka yetu kwa kila njia mabeberu hawa tuwakatae, mama amekimbia diplomasia anataka chokochoko, sasa tuamue kuwa kama Iran dhidi ya Azerbaijan
 
Tanzania ni lazima tusimame kama taifa huru, tuilinde mipaka yetu kwa kila njia mabeberu hawa tuwakatae, mama amekimbia diplomasia anataka chokochoko, sasa tuamue kuwa kama Iran dhidi ya Azerbaijan
Kwa utawala huu wa kifisadi tulio nao mmm...!!!!! Wanatumia nguvu nyingi kupambana na Chadema wakati mipaka ya nchi inachakachuliwa!!!
 
Tukipiga malawi itabidi blauzi na Skin tight ya Joyce tuiweke kwenye National Museum kama kumbukumbu ya vita hii!
 
Tanzania ni lazima tusimame kama taifa huru, tuilinde mipaka yetu kwa kila njia mabeberu hawa tuwakatae, mama amekimbia diplomasia anataka chokochoko, sasa tuamue kuwa kama Iran dhidi ya Azerbaijan
soma hii article, ni nzuri sana, nafikiri membe akiisoma hii itamsaidia kututetea. malawi hawana kitu hapa, kwanza sisi hatujawahi kutawaliwa na muingereza, tulitawaliwa na mjerumani na muingereza kwetu tulikuwa under trusteeship tu wala si coloni. kama muingereza alifanya lolote lile lilikuwa batili. pia mgogoro huu umekuwa mbichi bila kutatuliwa na ulishaanzishwa na nyerere na viongozi wa malawi hata kabla ya independence, na nyerere alishawaambia tangu uhuru kuwa hataiheshimu mikataba ya kikoloni miaka miwili kuanzia uhuru wetu, kuna condition aliweka. sisi hatuutambui mkataba wowote ule, na malawi hata wakienda icj tutawashinda tu. nilikuwa na hofu bure. however, ili kuwasumbua akili zao hawa wamalawi, tz inatakiwa ikatae kwenda icj, kwasababu condition moja wapo ya kesi kusikilizwa na icj ni lazima nchi zote mbili zikubali kuwa issue ishughulikiwe pale, kukiwa na nchi mojawapo inakataa jurisdiction yake, kesi haiwezi kusikilizwa hivyo malawi hata wakienda tatarudi tu kwenye meza ya majadiliano au vita basi...hawana lolote.
 
Attachments

  • Malawi1.pdf
    203.3 KB · Views: 116
Bado twataka diplomasia ichukue mkondo wake,hatuwezi kuwafanya lolote maana pale kuna interest za wakubwa pia,na hatuna pesa za kuendesha operation za jeshi hata kwa mwezi mmoja tu,tunaishi kwa kukopa kwenye vyombo vya fedha;tunaishi mstari wa mwisho wa bankcrapcy,unategemea atapeleka jeshi ?kufanya nini?pesa ataomba wapi?Canada?sidhani maana wote UK,Usa na Canada lao moja!akienda china ataambiwa Canada wame sign mkataba;imekula kwako!Libya haipo tena!tutabakia kulilia diplomasia hadi mwisho
 
Ni bora tukawakaribisha jamaa zetu wakichina kabisa tena bila kuchelewa na tuwe nao bila unafiki na hayo makampuni yanayochimba gesi yetu bahari ya Hindi kama yanatoka britain inabidi tusitishe mikataba yao kama britis itaendelea kuchochea mgogoro wa malawi na kuegemea upande wa malawi,tuwape fundisho hilo wenyewe watakubali mpaka uwe kati kati,ila wachina tusiwaache hata siku moja watakuja kutusaidia baadae.
 
soma hii article, ni nzuri sana, nafikiri membe akiisoma hii itamsaidia kututetea.
Nimecopy hicho kipengele hapo toka kwenye attachment yako ya MALAWI1.pdf
Chiume had told Nyerere that in 1956 when the British formed a commission to determine borders of the Rhodesian Federation, which would have included Malawi, Zambia and Zimbabwe of today, they moved the borderline from the middle of the lake to the eastern shore. In August 1969 Chiume repeated the same account to James Mayall, a researcher from the London School of Economics.
Maelezo ya Chiume ni sawa lakini haikuwa mwaka 1956. Inasemekana ni mwaka 1898 siyo wakati wa kujuisha Malawi kwenye Rhodesian Federation ila ni wakati wa kuweka kuhakiki mpaka unaotenganisha Malawi, Zambia na Tanzania
"The present alignment of the boundary between the lakes was not determined in detail until decisions were reached by a joint boundary commission in 1898 and an agreement was signed by the United Kingdom and Germany in 1901."

Kama vipi google "ibs037.pdf" usi-iclude hizo inverted commas
 
Kwa utawala huu wa kifisadi tulio nao mmm...!!!!! Wanatumia nguvu nyingi kupambana na Chadema wakati mipaka ya nchi inachakachuliwa!!!

Kati ya mikutano ya bunge walituambia mipaka ipo salama, kumbe nyuma ya pazia ziwa lina mgogoro
 
soma hii article, ni nzuri sana, nafikiri membe akiisoma hii itamsaidia kututetea. malawi hawana kitu hapa, kwanza sisi hatujawahi kutawaliwa na muingereza, tulitawaliwa na mjerumani na muingereza kwetu tulikuwa under trusteeship tu wala si coloni. kama muingereza alifanya lolote lile lilikuwa batili. pia mgogoro huu umekuwa mbichi bila kutatuliwa na ulishaanzishwa na nyerere na viongozi wa malawi hata kabla ya independence, na nyerere alishawaambia tangu uhuru kuwa hataiheshimu mikataba ya kikoloni miaka miwili kuanzia uhuru wetu, kuna condition aliweka. sisi hatuutambui mkataba wowote ule, na malawi hata wakienda icj tutawashinda tu. nilikuwa na hofu bure. however, ili kuwasumbua akili zao hawa wamalawi, tz inatakiwa ikatae kwenda icj, kwasababu condition moja wapo ya kesi kusikilizwa na icj ni lazima nchi zote mbili zikubali kuwa issue ishughulikiwe pale, kukiwa na nchi mojawapo inakataa jurisdiction yake, kesi haiwezi kusikilizwa hivyo malawi hata wakienda tatarudi tu kwenye meza ya majadiliano au vita basi...hawana lolote.

naona article uliyosema tuisome inatuchanganya balala ya kutusaidia.
mfano "Nyerere reasoned that, the British ruled Tanganyika under the terms of a trusteeship, which denied them legal powers to alter borders".

na statment hii haviendani kabisa

"Honestly, it is true that the 1890 Agreement established the border between Nyasaland and Tanganyika on the eastern shore of the lake, but was later redrawn by the British in 1922 when they ruled both countries after World War I".

kwa hiyo kama waingereza hawakuwa na mamlaka ya kuchora mpaka hivyo mpaka waliouchora mwaka 1922 kwa kuuleta katikati ambao ndio tunaudai si halali?
 
Back
Top Bottom