Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

Imefika mahali rais wetu MWANAMUME anatishiwa na kupigwa mkwara na rais MWANAMKE,

Kwa suala hili nasononeka na kujiuliza kwanini Mungu alimchukua Nyerere na kutuachia mazagazaga? angalia jinsi Nyerere alivyokuwa sio mnafiki kwenye suala la Lake Nyasa.....

"Records show that Tanzania's president Julius Nyerere said that he did not care if the name was Lake Nyasa, Malawi, Banda or Kamuzu, but borders were not negotiable."
 
dah wacha ije vita tu wanajeshi wetu wakapunguze vitambi'maana hata friend mechi ya vita wengine hawajawahi kwenda
 
kwa jìnsi tulivyochanganyikiwa (kama nchi) ni bora tulianzishe tu (VITA), ili tupate kisingizio kipya cha kuwa watu maskini ndani ya nchi iliyobarikiwa KULIKO NCHI ZOTE DUNIANI.
 
Tuombe mungu isitoke, mgogoro huu utatuliwe kwa meza ya majadiliano!

Lakini ikibidi kulinda utu na heshima ya taifa letu, hata kwa vita tutajibu, tena jibu letu litakuwa kuu!

Kwanini Malawi imeamua kutoa vibali vya urafiti wa mafuta ndani ya eneo ambalo si sehemu ya ardhi yake! Malawi ikubuke tanzania tuna historia katika kutetea ardhi yetu kwa mtutu wa Bunduki! Wasitujaribu!
 
KUNA UGOMVI WA CHINI CHINI KATI YA TZ NA MALAWI CHANZO KIKIWA NI MAFUTA YALIYOPATIKANA KWENYE BONDE LA MTO SONGWE,KALONGA,ITUNGI PORT NA KYELA KWA UJUMLA,SASA KAMA MNAVYOJUA HILI NI ENEO LA MPAKA NA MAFUTA HUKO CHINI YAMETAPAKAA KOTE BILA KUJALI MPAKA HUKU JUU,

MWAKA JUZI MALAWI WALIFANYA DRILLING HAPO MPAKANI WAKAGUNDUA KUNA MAFUTA NA WAKAWA TAYARI WAMESHAANZA MIKAKATI YA KUYACHIMBA,BAADA YA WATZ KUPATA INFO ZA KIINTELIJENSIA NAO FASTA MWAKA JANA WAMEPELEKA TAYARI MAKAMPUNI MA2 AMBAYO YATAAANZA UCHIMBAJI SOON ILA KWA UPANDE WA TZ SO TECHNICALLY TUTAKUWA TUNASHARE MAFUTA HUKO CHINI ILA HUKU JUU KILA M2 ATAKUWA ANACHIMBA KWAKE KITU AMBACHO MALAWI HAWAKUKIFURAHIA NA HAWAKIPENDI!

MWAKA JANA HUO HUO MALAWI WALIFANYA YAFUATAYO 1.WALINUNUA TOKEA USA SPEED BOAT 4 ZENYE UWEZO WA KUSHAMBULIA NA KUFANYA DORIA(zipo tayari ziwa nyasa)

2.WAMEFUNGA "MILITARY RADAR" (inauwezo wa kudetect hata kundi kubwa la watu watakao kuwa wanatembea ardhini kama askari wa miguu) AMBAYO IMETOKA ISRAEL NA KUFUNGWA NA WAISRAEL JIRANI KABISA NA BODA YA KALONGA,RADA HII IMEFUNGWA KATIKA MILIMA ILIYOPO UPANDE WA KULIA UKISHAINGIA MALAWI KM KAMA 5 HV TOKEA MPAKANI

3.MWISHONI MWA MWAKA JANA WAKATI RADA YA JWTZ ILIYOPO KYELA JIRANI NA ITUNGI PORT IKIWA "OFF AIR"(Rada zote huwa zinakuwa na muda wa maintainance kwa siku,wiki au mwezi kipnd hicho huwa inazimwa) MALAWI WALIPITISHA NDEGE 2 ZA KIVITA (WAKIJUA KUWA RADA YA KYELA HAIPO HEWANI) HAIKUJULIKANA NI AINA GANI ZILIANZIA PWANI YA MBAMBA BAY,ZIKIAMBAA NA ZIWA NYASA ILA UPANDE WA TANZANIA ZIKAJA HADI LITUHI SONGEA ZIKAPITA MANDA ZIKAJA HADI MATEMA BEACH KYELA KABLA YA KUINGIA MALAWI (Ikumbukwe kuwa rada ya jwtz iliyopo songea haioni hadi ziwa nyasa kutokana na milima iliyopo katikati

TISS NA JESHI WANAHOFIA SANA HII KITU KWASABABU TAASISIS ZOTE NYETI TAYARI JK KASHAZIGAWA KISIASA NA KIDINI,JESHI LINA MAOFISA NA MAKAMANDA WASIOLIJUA JESHI VIZURI WENGI WAO WANAINGIA JESHINI BAADA YA KUKOSA AJIRA HUKO MTAANI NA DEGREE ZAO THEN NDAN YA MWAKA M1 WANAKUWA NA NYOTA 2! HATA UWEZO WA KU-MANAGE ASKARI 10 HANA! UTAKUTA NI AFISA WA JESHI!

hili liliwahi kusemwa humu

sasa tanzania hatuoni huu uchokozi?
 
Je, amiri jeshi mkuu tunaye? Angalia, jamaa anaweza kuanza kuchekacheka wakati wa kutangaza vita watu tukadhani masihara kumbe ndo twafa.
si amri jeshi tu ndugu yangu hebu linganisha hata nguvu yetu ya jeshi ya sasa hivi na wakati ule, hivi leo hii tunao makamanda jasiri kama wa wakati ule akina Mwita KYARO, Jenerali Mayunga wa wakati ule? nahisi hata watanzania wa waakati ule hasa vijana walikuwa wazalaendo sana sio hii bongo fleva ya leo, mie nafikiri wazo la ku opt kwenye vita sasa hv tusilishabikie kabisa
 
tutawafanya tulicho mfanya idd amin dada huko uganda waacho vijana wetu wana hamu ya vta
 
si amri jeshi tu ndugu yangu hebu linganisha hata nguvu yetu ya jeshi ya sasa hivi na wakati ule, hivi leo hii tunao makamanda jasiri kama wa wakati ule akina Mwita KYARO, Jenerali Mayunga wa wakati ule? nahisi hata watanzania wa waakati ule hasa vijana walikuwa wazalaendo sana sio hii bongo fleva ya leo, mie nafikiri wazo la ku opt kwenye vita sasa hv tusilishabikie kabisa

Unaogopa kufa wakati tunapumulia machine? wacha liwalo na liwe
 
Vita sio maneno wala minguvu ..vita ni kutumia akili ..Tanzania haipo tayari kuingia vitani kwa sasa ...hayo mafuta hata mkiyachimba mtaambulia asilimia 1 tu ..kinachotakiwa ni kulinda wananchi wetu wanaoishi mipakani
 
jamaa yetu anavyopenda mademu,usikute kamuhonga ziwa nyasa ndo maana hakuna hatua yoyote inayochukuliwa..
 
Nasubiri India watakapodai bahari ya Hindi ni yao

Chama
Gongo la mboto DSM
ha ah aa.. sasa wazanzibar wataenda wapi kuvua samaki? manake wamalawi wanadai kuwa ziwa ni lao na linaitwa jian lao kwa hiyo wahindi nao wachukue bahari yao kwa vile inaitwa india nayo
 
ha ha watu wanatengeneza vitu visivyokuwepo eti vita,huo mgogoro wa kawaida tu unatokea karibu kila sehemu ya dunia
 
Kushinda vita kunategemea budget....Malawi wako fresh kiuchumi kwa sasa ukilinganisha na sie...wanaweza nunu silaha za kisasa...sisi kwa ukata huu vita tutaweza kweli. Si mliona ya Uganda ilivyotufanya tukose hata sabuni.

Taarifa yako na mashaka yako ya bure! Fedha inaweza kununua silaha lakini kamwe haiwezi kununua UZALENDO! Kumbuka wakati Tanzania ilipopigana vita na Nduli Idd Amin, tulikuwa na silaha ambazo hazikulingana sana na zile zilizotumiwa na wenzetu waliokuwa wanasaidiwa na Libya! Nakukumbusha falsafa maarufu ya Marehemu Baba wa Taifa WAKATI HUO: MOYO KABLA YA SILAHA! Watanzania ikibidi wafikie hatua ya kupambana, wanachopaswa kujulishwa ni sababu kwanini tupambane! Mengine huja baada ya hilo!
 
Mimi naona huyu Joyce ni kumtandika tu. tunahitaji muda wa mwezi mmoja kumsogeza au kuichukua malawi yote na kuifanya sehemu mojawapo ya mkoa wa Mbeya
 
Jk ni muoga na hawezi kupiganisha vita na malawi

Hatupigani vita kwa sababu ya ujasiri au kutokuogopa vita! Tutapigana kama kunasababu ya msingi na hakuna kama kulinda nchi yetu na maisha ya raia wake! Ndo maana hata walevi wana usemi usemao UKITAKA KUJUA NGUVU YA MLEVI MWAGA POMBE YAKE!Usiulize mlevi atapata wapi nguvu ili hali kalewa!
 
KUNA UGOMVI WA CHINI CHINI KATI YA TZ NA MALAWI CHANZO KIKIWA NI MAFUTA YALIYOPATIKANA KWENYE BONDE LA MTO SONGWE,KALONGA,ITUNGI PORT NA KYELA KWA UJUMLA,SASA KAMA MNAVYOJUA HILI NI ENEO LA MPAKA NA MAFUTA HUKO CHINI YAMETAPAKAA KOTE BILA KUJALI MPAKA HUKU JUU,

MWAKA JUZI MALAWI WALIFANYA DRILLING HAPO MPAKANI WAKAGUNDUA KUNA MAFUTA NA WAKAWA TAYARI WAMESHAANZA MIKAKATI YA KUYACHIMBA,BAADA YA WATZ KUPATA INFO ZA KIINTELIJENSIA NAO FASTA MWAKA JANA WAMEPELEKA TAYARI MAKAMPUNI MA2 AMBAYO YATAAANZA UCHIMBAJI SOON ILA KWA UPANDE WA TZ SO TECHNICALLY TUTAKUWA TUNASHARE MAFUTA HUKO CHINI ILA HUKU JUU KILA M2 ATAKUWA ANACHIMBA KWAKE KITU AMBACHO MALAWI HAWAKUKIFURAHIA NA HAWAKIPENDI!

MWAKA JANA HUO HUO MALAWI WALIFANYA YAFUATAYO 1.WALINUNUA TOKEA USA SPEED BOAT 4 ZENYE UWEZO WA KUSHAMBULIA NA KUFANYA DORIA(zipo tayari ziwa nyasa)

2.WAMEFUNGA "MILITARY RADAR" (inauwezo wa kudetect hata kundi kubwa la watu watakao kuwa wanatembea ardhini kama askari wa miguu) AMBAYO IMETOKA ISRAEL NA KUFUNGWA NA WAISRAEL JIRANI KABISA NA BODA YA KALONGA,RADA HII IMEFUNGWA KATIKA MILIMA ILIYOPO UPANDE WA KULIA UKISHAINGIA MALAWI KM KAMA 5 HV TOKEA MPAKANI

3.MWISHONI MWA MWAKA JANA WAKATI RADA YA JWTZ ILIYOPO KYELA JIRANI NA ITUNGI PORT IKIWA "OFF AIR"(Rada zote huwa zinakuwa na muda wa maintainance kwa siku,wiki au mwezi kipnd hicho huwa inazimwa) MALAWI WALIPITISHA NDEGE 2 ZA KIVITA (WAKIJUA KUWA RADA YA KYELA HAIPO HEWANI) HAIKUJULIKANA NI AINA GANI ZILIANZIA PWANI YA MBAMBA BAY,ZIKIAMBAA NA ZIWA NYASA ILA UPANDE WA TANZANIA ZIKAJA HADI LITUHI SONGEA ZIKAPITA MANDA ZIKAJA HADI MATEMA BEACH KYELA KABLA YA KUINGIA MALAWI (Ikumbukwe kuwa rada ya jwtz iliyopo songea haioni hadi ziwa nyasa kutokana na milima iliyopo katikati

TISS NA JESHI WANAHOFIA SANA HII KITU KWASABABU TAASISIS ZOTE NYETI TAYARI JK KASHAZIGAWA KISIASA NA KIDINI,JESHI LINA MAOFISA NA MAKAMANDA WASIOLIJUA JESHI VIZURI WENGI WAO WANAINGIA JESHINI BAADA YA KUKOSA AJIRA HUKO MTAANI NA DEGREE ZAO THEN NDAN YA MWAKA M1 WANAKUWA NA NYOTA 2! HATA UWEZO WA KU-MANAGE ASKARI 10 HANA! UTAKUTA NI AFISA WA JESHI!

hili liliwahi kusemwa humu
Jf kuna mambo mengi sana japo wengine tunayaponda kuwa ni uzushi lakini ukiyaangalia kwa makini ni ya muhimu.

Wasi wasi wangu tangia awali ni kuwa vita nyingi za Africa unayemuona 'front' siye unayepigana naye bali kuna wengine wengi nyuma yake. Hii 'jeuri' ya Wamalawi haiwezi kuibuka siku moja tu na ukichukulia kuwa waliwahi kuibua hili suala wakashindwa sasa wamefanya timing ya kutujua nguvu tuliyonayo kwa sasa.

Wanaoweza kuwa nyuma ya huu mpango wanajua ni utajiri kiasi gani na wanajua watasupport na watapata nini mwishowe. Tuombe Mungu atuepushe na hili (kama tunavyosemaga) ...Inshallah!
 
.......hii nchi tunaji-weaken wenyewe hasa tunapodili na ama kushadidia issue za kipuuzi kama udini na ukabila na hasa ujinga huu unapoingia kwenye taasisi muhimi kama TISS, TPDF etc; By the way huu wa sasa sio mgogoro bali ni mfoforo kwa sababu hawa Wanyasa wamelianzisha kwa makusudi maalumu ili hali wakijua ukweli na ugumu wa sisi kuwa sehemu ya koloni lao kupitia ziwa Nyasa;
 
Back
Top Bottom