Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

Watanzania wamekata tamaa! Hata kama kuna hatari ya vita, tunatetea nini? Kama ni mafuta au mali zilizochini ya ardhi, zinafaidisha nini taifa letu. Yaani vijana wetu wakafe kwa ajili ya wanasiasa wachache wanaotumia utajiri wa nchi yetu kwa manufaa yao na familia zao. I love Tanzania so much, but the income gap between the rich and the poor and the exploitation done by the mining companies do not justify the poor youths to go to the war! Hii issue imalizwe kwenye meza ya mazungumzo.
What if no agreement is reached and you don't wanna see our dear soldier who spend their time eating and riding the daladala without paying the passengers fees? Should we allow the neighbours take the lake? I don't think so, we must unite to fight for our country while solving our internal problems.
 
Wakati malawi inatuchokonoa wakumbuke kuwa Raisi wao ni mwanamke kwa hiyo wakizubaa watakua shemeji zetu baada ya vita. Mnitetee nisipate burn wadau!
 
Rais wa Malawi bibi Joyce Banda leo tarehe 3/8/2012 atalihutubia taifa hilo kupitia vyombo vya habari vya nchi hiyo,

Kwa mujibu wa msemaji wa serikali ya Banda anasema, suala la mgogoro wa mpaka na Tanzania litakuwa miongoni mwa mambo muhimu atakayoyazungumza!

Ripoti za kijasu za Tz zinazopatikana kutoka Malawi zinasema kuwa Malawi imeshaivamia Tanzania na imeweka boti za kijeshi ziendazo kasi zenye makombora ya kilomita 5 katika Ziwa Nyasa na zinafanya doria usiku na Mchana.

Na kujiimarisha zaidi bibi Joyce Banda amefunga Special Military Rader kataka milima iliyopo upande wa kulia ukishaingia Malawi katika umbali usiozidi km 5 kutoka boda ya Kalonga.

Mama Banda ameshikilia kuwa wanajeshi wake waliopo katika ardhi ya Tanzania wataendelea kupiga doria usiku na mchana huku Meli za utafiti wa mafuta zikiendelea kuvinjari katika ukanda wa Tanzania, na haonyeshi kutikisika na kauli ya Tanzania kuwa asitishe utafiti wa mafuta ktk Tz!

Macho na masikio ya watz wote tuyaelekeze huko leo kujua je Mama anaingia Vitani au analegeza msimamo?

UPDATES:

Rais Joyce Banda ameahirish kulihutubia taifa juu ya mgogoro wa mpaka na Tanzani na kuumuagiza Waziri wake wa Mambo ya Kigeni Ndugu Ephraim Mganda Chiume kulieleza taifa:


Minister of Foreign Affairs and International Cooperation, Ephraim Mganda Chiume said on Friday that Malawi and Tanzania would resolve the border issue over Lake Malawi amicably.

Briefing journalists through a prepared statement that he read at the Central Office of Information (COI) in Lilongwe, Chiume said Malawi was engaged in discussions with government of the United Republic of Tanzania to resolve the issue.

Said Chiume: “The nation is hereby informed that there are on-going discussions between our two countries and that the Malawi Government is determined to reach an amicable solution with the government of the United Republic of Tanzania.”

Chiume further said that Malawi has rightful claim to the whole lake basing on the Heligoland Treaty signed by Germany and Britain – Malawi and Tanzania’s old colonial masters.

The treaty defines the border between the two countries as being the edge of the waters on eastern shore of Lake Malawi.

The position of the Heligoland treaty according to Chiume, was further reinforced and adopted by resolutions of the African Union in 2002 and 2007 and its predecessor, the Organisation of African Union (OAU) in 1963 that states that ‘member states should recognize and recognize and accept the borders that were inherited at the time of independence.’

The treaty in part, on article one states that: “German sphere of influence…to the South by a line which, starting on coast at the Northern limit of Mozambique follows the course of the river Rovoma to the point of confluence of the Nsinje; hence it runs westwards along the parallel of that point till it reaches Lake Nyasa [Lake Malawi]; hence striking Northward, it follows the eastern, Northern and Western shores of the lake to the northern bank of the mouth of the river Songwe.”

Chiume: No cause for anxiety

The Foreign Affairs Minister who was flanked by Minister of Information, Moses Kunkuyu Kalongashawa, said that while they acknowledged Tanzania’s claim to half of the Lake basing on common law,

“It is Malawi’s position that the principle which Tanzania depends upon applies only where there is no treaty.”

No cause for alarm
Chiume also assured the nation that there should be no cause for anxiety or alarm as the two countries were engaged in discussions ‘so that an amicable solution is found on this long outstanding issue.’

In the statement Chiume also condemned the misrepresentation in both the local and international media that there was rising tension between Malawi and Tanzania.

“This is far from the truth because we are discussing in an open and cordial manner with a view of reaching an agreement,” said Chiume.

He also appealed to the media not to ‘cause unnecessary anxieties. Let us allow diplomacy to work,’ concluded Chiume.

Malawi and Tanzania have had rival claims over the lake from post-independence times and this has come to the fore over the recent gas and oil exploration licenses issued out by Malawi

Wazee mkisoma hii hbr kwenye source yake pale chn yake kuna raia wa nne wa malawi wamekoment hata raia wao wanataka kiwake kwan hakuna umuhm wa mazungumzo tena hawana hata aibu.na wana sema hata tz wanataka vita. Kazi kwenu
 
Hii ni moja ya komenti ya wamalawi hao juu ya sakata hili
There go the Tanzanian morons again! Now I am convinced you have no evidence
backing your claim. I repeat you can’t win the battles of today by making reference to
that insignificant battle with the lunatic Amin. You Tanzanians you have a very big
problem. The crook Nyerere just brainwashed you with the false claim but did not leave
you enough backing evidence. All you have is the proclamation of the false strength of
your army (another brainwashing dosage from Nyerere I presume). So all of you Tanzanians subleased your brains to that moron Nyerere? Now that Nyerere is six feet
under, all you have are those senseless rantings. No wonder you are the most
incompetent people in the East African Community. Why can’t you be as sharp as the
Kenyans and Ugandans? Bring facts why we should share our beautiful lake with us. We
are not as bad as you think. Maybe we may consider your request (with so many
conditions attached of course). Stop making your empty threats based on some useless battles with tiny islands and one lunatic president
 
Mkuu afrodenzi yapo! Naimani utatusaidia kulifikisha Lilongwe kwa Bi JB.

392517_374533292569557_500562468_n.jpg

daahhhhh hii hujaiba huko "Google" kweli duhhh
ningependa kuamini tunayo hii hapa TZ.. bali sijawahi ona.
 
Me nafikiri tuanze mapigano ya ngume kwanza, maana kwa umaskini huu halafu tupigane tena, haki ya mama tutarudi stone age!!
 
Hii ni moja ya komenti ya wamalawi hao juu ya sakata hili
There go the Tanzanian morons again! Now I am convinced you have no evidence
backing your claim. I repeat you can't win the battles of today by making reference to
that insignificant battle with the lunatic Amin. You Tanzanians you have a very big
problem. The crook Nyerere just brainwashed you with the false claim but did not leave
you enough backing evidence. All you have is the proclamation of the false strength of
your army (another brainwashing dosage from Nyerere I presume). So all of you Tanzanians subleased your brains to that moron Nyerere? Now that Nyerere is six feet
under, all you have are those senseless rantings. No wonder you are the most
incompetent people in the East African Community. Why can't you be as sharp as the
Kenyans and Ugandans? Bring facts why we should share our beautiful lake with us. We
are not as bad as you think. Maybe we may consider your request (with so many
conditions attached of course). Stop making your empty threats based on some useless battles with tiny islands and one lunatic president
.........tubaki kucheka cheka tu, tukiongea sisi watz tunaambiwa ni wivu wa kijinga, hiv hata nyie TISS mlioko humu hampeleki salamu hizi kunako????? Sifikiriii kama tuko weak kiasi hiki, haki ya Mungu nyie TISS mtakua wa kwanza kuhukumiwa kwa kukosa uzalendo na nchi yenu na kukumbatia sisi raia mafisadi;
 
sawa mkuu wanaweeza kuwa na 100 stars.
lakini Mkuu wao ambae anatoa amri ya mwisho nikimaanisha Kikwete..
Ye yuko imara kutoa amri yenye msimamo??

afrodenzi unaamanisha Lt Col Jakaya M. Kikwete? unajua hako kanchi ka malawi ukubwa wake ni kama Morogoro tu?
 
[h=2]
malawi_map_2007-worldfactbook.jpg
[/h]


Na Mwandishi maalum



7th August 2012








Maoni ya Katuni


Wiki iliyopita, Watanzania walishtushwa na taarifa iliyotolewa bungeni na Mbunge wa Mbozi Magharibi, Godfrey Zambi (CCM), kwamba Malawi inadai kuwa Ziwa Nyasa ni mali ya nchi hiyo kwa asilimia 100.

Mbunge huyo alitoa kauli hiyo bungeni baada ya kuomba mwongozo wa Spika na kufafanua kuwa vyombo vya habari vya Malawi na vya Tanzania, vilimkariri mmoja wa makatibu wakuu wa Malawi, akieleza kwamba Ziwa Nyasa lipo nchini mwake kwa asilimia 100.

Zambi alisema hali hiyo inahatarisha uhusiano wa nchi hizo na kuitaka serikali kutoa maelezo juu ya hali ya Ziwa Nyasa ili wananchi wa Mbeya pamoja na wabunge waelewe.

Alisema kumekuwapo na mazungumzo ya muda mrefu kuhusu mpaka wa ziwa hilo lakini wabunge na wananchi kwa ujumla, hawajui kilichofikiwa.

Kwa mujibu wa mbunge huyo, taarifa za katibu huyo wa Malawi, zimeleta wasiwasi na hofu kubwa miongoni mwa wananchi wa mkoani Mbeya ambao hutumia ziwa hilo kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge kwa siku hiyo, Jenister Mhagama, alisema suala hilo atalipeleka serikalini ili Waziri Mkuu au Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, alitolee ufafanuzi na taarifa kamili.

Hata hivyo, Kaimu Kiongozi wa Shughuli za Serikali bungeni, Samuel Sitta, alisema serikali imestushwa mno na taarifa hizo kwa kuwa mazungumzo kuhusu mpaka wa Ziwa Nyasa yanaendelea.

Alionya kwamba Tanzania ipo tayari kwa uchokozi wowote kwa kuwa inafuata sheria za kimataifa, hivyo akawataka wananchi wa mikoa ya Mbeya, Ruvuma na Iringa, ambayo inapakana na ziwa hilo kuendelea na shughuli zao za kiuchumi ziwani humo.

Jana, Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha wa wa 2012/13, alisema Tanzania itahakikisha inalinda mipaka yake kwa gharama yoyote ile na kuzionya ndege zozote za makampuni yanayofanya utafiti wa mafuta na gesi katika ziwa hilo kuruka kwenye anga la Ziwa Nyasa kuanzia jana.

Membe alisema tatizo lililopo ni kwamba Malawi wanadai kuwa mpaka baina yake na Tanzania unapita pwani ya ziwa hilo; hivyo ziwa lote kutoka kwenye mpaka kati ya Malawi na Msumbiji hadi Kyela, Tanzania ni mali ya nchi hiyo.

Alisema Malawi wanajenga hoja kwa kuangalia mkataba uliowekwa na Waingereza na Wajerumani mwaka 1890 wa Anglo-German Agreeement ulioweka mpaka kati ya Tanzania na Malawi pwani.

Alisema Tanzania kwa upande wake inadai kwamba mpaka unapita katikati ya ziwa kutoka mpaka wa Malawi na Msumbiji usawa wa latitudi nyuzi tisa na 11 hivyo kufanya eneo lote la Kaskazini Mashariki kuwa mali ya Tanzania.

Alisema baada ya kuibuka kwa tofauti hizo, ilikubalika kwamba pande zote zikutane ili kumaliza mgogoro huo kwa njia ya diplomasia.

Itakumbukwa kwamba katika miaka ya 1960, Tanzania iliwahi kuingia mzozo kama huo na Malawi wakati huo ikiongozwa na marehemu Kamuzu Banda.

Hali hiyo ilizorotesha kwa kiasi fulani uhusiano kati ya nchi hizi mbili yaani Tanzania na Malawi kiasi kwamba vijana wa zamani, watakumbuka walikuwa wakiimba nyimbo shuleni wakati wa mchakamchaka za kumkashifu Banda kwa suala hilo.

Moja ya nyimbo hizo ni ule maarufu uliojulikana kama " Banda wa Malawi katuvalia ngozi ya chui kututisha Watanzania...Hatuwezi...hatuwezi...,".

Kwa hakika tunaona zipo dalili kwamba kama mgogoro huu wa mpaka hautashughulikiwa haraka, unaweza tena kuathiri uhusiano kati yetu na Malawi.

Lakini sisi tunadhani kwamba bado mgogoro huu unaweza kutatuliwa kwa njia za diplomasia kama viongozi wa pande zote mbili watakubali kuketi pamoja na kujadili kwa maslahi ya nchi zao na Afrika kwa ujumla wake.

Hata hivyo, tusingependa nchi jirani kutumia uungwana wetu wa Watanzania na kuamua kuchezea mipaka ya nchi yetu kwa namna yoyote ile.

Licha ya kwamba ni dhahiri Malawi inaonekana kukiuka mikataba ya kimataifa na mipaka ya wakoloni inaonyesha kwamba mpaka wa Tanzania na Malawi upo katikati ya Ziwa Nyasa na hivyo asilimia 50 ya ziwa hilo ipo nchini kwetu, bado tungeshauri kuwepo kwa mazungumzo ili suala hili limalizwe kindugu na kidiplomasia.

Kwa hakika, si vema kwa sasa Afrika ya leo kuzungumzia masuala ya mipaka kati ya nchi na nchi badala ya kuzungumzia namna gani Afrika iungane na kuwa taifa moja lenye nguvu kiuchumi.






CHANZO: NIPASHE


0 Maoni | Kuwa wa kwanza kutoa maoni
 
Back
Top Bottom