Elections 2010 Malaria Sugu ni msemaji wa kampeni ya Kikwete (na CCM)

Status
Not open for further replies.

Solomon David

JF-Expert Member
Mar 1, 2009
1,148
16
Yes,

yeye Malaria Sugu, na pacha wake Tumaini, na binamu yake Kanda2.

Kwa kadri ambavyo mods wanayakubali yale wanayobandika hapa na kuacha yaendelee kukaa kwa miezi na miaka kadhaa (kitu ambacho ni kizuri ukichukulia uhuru wa maoni unaoruhusiwa na JF), ikubaliwe kuwa hiyo format wanayotumia inakubalika hapa JF na inaruhusiwa kama sehemu ya kampeni za 2010.

Na kwa jinsi hiyo, na ukifuatilia kuwa wanayoandika hapa yanafanana sana na matamshi ya Makamba, Mkuchika, na wanaccm wengi (akiwemo mgombea wao Jakaya Kikwete), ni kwa asilimia 95 ya uhakika (confidence level) kuwa hawa ni wasemaji wa kampeni ya Kikwete na ccm kwa ujumla.

Kama hii itasaidia kwenye maandalizi yako ya namna ya kuwajibu, kumbuka kuwa kila unachoona hapa toka kwa hao watatu, kichukulie kama tamko maalum la kampeni ya Kikwete na wana ccm kwa mwaka huu wa uchaguzi.

Na kwa kadri ambavyo mod wamekubali matamko yao hapa JF, ni matumaini kuwa mods watakubali hiki ninachobandika hapa na kukiacha hapa kwenye jukwaa la siasa. Hata hivyo, kwa kadri ambavyo JF imeonekana ikioperate karibuni, sitashangaa kuona nilichobandika kikihamishiwa mbali na kufichwa ili kisisomwe na wengi (wakati mabandiko ya MS na wenzake yakiendelea kutamba kwenye siasa na jukwaa la uchaguzi).

Asante
 
I second you, Mods should not have to be double standards, kuna sehemu members wa JF(MKJJ, Pasco, Mchukia Fisadi) wametajwa kuwa ma kampeni meneja wa Chadema (whether is true or not) na Mods wanachukulia ni kitu cha kawaida.

Kwa hiyo kama tuna ruhusu kutajana majina basi hii thread iliyomtaja Malaria Sugu kuwa ni msemaji wa kampeni ya Kikwete nayo isiondolewe (whether it is true or not). Na kuanzia sasa kila atakachosema MS tutachukulia kuwa ametumwa na kampeni ya Kikwete.
 
CHADEMA NI JF NA JF NI CHADEMA......!ila wachunguliao wamegawanyika......!..(?)
 
sielewi tatizo !
Tatizo ni hao wasemaji wa CCM au mod?
Maana hapa kila mmoja ana uhuru wake ,ila mod hatakiwi kuwa biased .
 
naona mzee hoja zako zimekaa kisiasa na sio kitaalamu, siamini kama jf kweli ni ya chadema, naamini JF kwa ajili ya watz,ms ni mtanzania, ms ni mtu makini, ms anauchungu na tz. ms sio kampenia wa kikwete. lkn hivi juzi mh dk slaa ameniomba niwe kampenia wake


acha uongo wewe MS hasa hapo kwenye bold, yeyote yule atakayekuomba umkampenie ajiandae kushindwa ina maana una mkana JK sie tunakufahamu wewe si ulikuwa mkata na baadae bagamoyo na upo kwenye timu ya wagagnga wa kienyeji wa ccm pale bagamoyo
 
naona mzee hoja zako zimekaa kisiasa na sio kitaalamu, siamini kama jf kweli ni ya chadema, naamini JF kwa ajili ya watz,ms ni mtanzania, ms ni mtu makini, ms anauchungu na tz. ms sio kampenia wa kikwete. lkn hivi juzi mh dk slaa ameniomba niwe kampenia wake

Jina Langu naitwa Vivian Massawe. ni mfanyakazi katika Kampuni moja hapa Dar. Kila nilalapo nahakikisha natumia Chandarua chenye dawa. Malaria haikubaliki!
 
Malaria Sug
user-online.png
JF Senior Expert Member Join Date Sun Aug 2009
Posts 1,392
Thanks : 0
Thanked 153 Times in 116 Posts
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom