Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 307
Kila nikisoma makala za ndugu yangu MS najutia kujiunga JF, najuta kwa sababu katika maisha yangu ya kawaida sidhani kama ninaweza kuwa mshirika na watu wa aina yake.
MS na watu wa aina yake ni wale ambao hutafuta mchawi kila mara mambo yanapokwenda mrama, wanatafuta mtu mwingine wa kumlaum ili mradi wao wabakie na utukufu. Watu hawa na mzigo mkubwa kwa jamii zao