Makundi ndani ya CHADEMA

JF,

makundi yakiwa CCM tunashangilia, ukisikia yapo CDM tunatukana

tafakari, chukua hatua
 
CHADEMA si chama cha maigizo,mleta thread umepoteza wakati wako.Bure kabisa.MAJUNGU SI MTAJI UTAKAO UTAJIRISHA CCM.CDM IMEWAKAMATA PABAYA.
 
Huyu katumwa na magamba wana kiwewe si kawaida. CDM inawatoa jasho jembamba. Alitakiwa aorodheshe vyama vyote vya siasa na aeleze makundi ndani ya hivyo vyama akianzia na CCM.
 
Exactly!washikaji ukikaa nao mahali popote hawana raha,mavazi yao siku hizi ni mzigo kuivaa,they feel shy.shame on them
 
Walianza na propaganda za udini ndani ya Chadema hazikuzaa matunda, wakaja ukabila unfortunately kusini na kanda ya ziwa ndo zenye wanachama wengi ndani ya Chadema, now wanazungumzia ukanda kwa maana ya kusini, mashariki, kaskazini na magharib kwa akina Zito... NOW I KNOW KWAMBA CHADEMA NI CHAMA CHA UTANZANIA!
 
Hivi hili gazeti si ndio la bwana Mamvi wakuu hebu nikumbusheni na waandishi au mhariri wake Mkuu si ndio Man.yerere Jac.ton au?
 
Ukanda,udini na ukabila ni silaha zilizoshindwa dhidi ya CHADEMA.
Eliah G Kamwela says sorry for this very kilazaful post.
 
Walianza na propaganda za udini ndani ya Chadema hazikuzaa matunda, wakaja ukabila unfortunately kusini na kanda ya ziwa ndo zenye wanachama wengi ndani ya Chadema, now wanazungumzia ukanda kwa maana ya kusini, mashariki, kaskazini na magharib kwa akina Zito... NOW I KNOW KWAMBA CHADEMA NI CHAMA CHA UTANZANIA!

Kweli kabisa!
Maana yake CDM sasa ime cover pande zote za Tanzania.
Hata hivyo,si vyema kusifiwa huku kwa kuhusishwa na ukanda.
Hii ni jitihada ya CCM iliyo shindwa tayari.
Eliah G Kamwela says thanks for this very useful post.
 
chadema kina makundi makubwa matatu huku la kwanza likiundwa na idadi ya viongozi wanaotoka mkoani kilimanjaro na kuongozwa na mbowe, la pili lina watu kutoka manyara na arusha kiongozi wake ni dr. slaa, halafu la tatu linamuunga mkono zitto.
tofauti ya mawili ya kwanza, kundi hili la mwisho lina watu wanaotoka nje ya mikoa hiyo ya kilimanjaro, arusha na manyara, lakini jitihada zake huenda zisifanikiwe kwa kiwango kikubwa kutokana na sababu za maslahi zaidi.
zitto binafsi anafahamu kuwa yeye, mbowe na slaa kila mmoja anapambana kikamilifu ili kuhangaikia uteuzi wa kugombea uraisi katika uchaguzi mkuu ujao, lakini anaelewa ni jinsi gani inabidi apambane na ubanguzi mkubwa wa ukabila na ukanda.
anajua kuwa viongozi wenzake wanaotoka kilimanjaro wanafanya kila wanavyoweza ili mbowe ndiye aje kugombea urais mwaka 2015, kazi inayofanywa kwa kutumia ushawishi wa kisiasa na kifedha. anafahamu kuwa kamati kuu ya chadema imerudikwa na watu wanaotoka kilimanjaro ili wawe na nguvu, wale ambao kuna wengine ni wafanyabiashara wakubwa wakiongozwa na mwenyekiti wa chama hichi katika mkoa huo, philemon ndesasamburo. viongozi wengine wanaotoka kilimanjaro ni pamoja mbowe, mkurugenzi wa habari na uenezi john mnyika, mbunge wa kawe halima mdee, mbunge wa ilemela hayness kiwia, mkurungenzi wa fedha na utawala anthony komu na mkurugenzi wa bunge na halmashauri john mrema
Kundi hilo pia linasaidiwa na wabunge kama akina peter msingwa [iringa mjini] ezekieli wenje [nyamagana] joseph mbilinyi [mbeya mjini] joshua nasari [ arumeru mashariki] vincent nyerere [ musoma mijini] saidi arfi [mpanda mjini] mbunge wa zamani wa arusha mijini godbless lema.
Tofauti na hilo, kundi la dr. slaa linaudwa na kikundi cha wabunge wachache wa majimbo na baadhi wa viti maalum hususani wanaotokea mikoa miwili ya arusha na manyara, lakini kutokanana mzozo wa ndoa yao mkewe ambaye ni mbunge wa viti maalum, rose kamili hajihusishi nalo. aidha kundi hili pia halina nguvu za kifedha na hata ushawishi wowote mahali popote kwasababu ukimwondoa dr. slaa hakuna mtu mwingine yeyote mwenye nguvu kwa namna moja ama nyingine kisiasa.
Kundi la zitto ndilo halina idadi kubwa ya wabunge isipokuwa wachache tu ambao ukimwondoa yeye mwenyewe baadhi ya waliomo ni mkurungezi wa uchaguzi, msafiri mtemelwa pamoja na wabunge wa viti maalum wanatoka naye mkoa wa kigoma, muhonga saidi na philipa mturano. pamoja na juhudi anazofanya za kutaka augwe mkono na vijana mikoa yote nchini, tatizo kubwa linalokuja ni ukweli kwamba hata iweje hatateuliwa kuwa mgombea urais wa chadema katika uchanguzi huo mkuu wa mwaka 2015. hawawezi kuipata nafasi hiyo ya kwasababu hana wafuasi wengi ndani ya kamati kuu ambacho ndicho kikao kizito kuliko vyote na pia hatakiwi kwa namna zote na mwasisi wa chadema, mzee mtei. ni yeye aliyemzuia zitto kugombea nafasi ya mwenyekiti wa taifa mwaka 2009 akisema hawezi kuruhusu chama chake kichukuliwe na mtu asiyemfahamu "wapi anakotoka"
katika hali hiyo, nafasi ya kugombea uraisi mwaka 2015 ipo wazi zaidi kwa mbowe na siyo dr. slaa, zitto wala mwingine yeyote yeyote kutokana na uwepo wa makundi hayo matatu ingawa huenda yakaongezeka hapo baadaye. katika uchaguzi wa 2010 dr. slaa alishinikizwa kugombea uraisi kwa sababu tu kundi hilo lilijua kamwe hawezi kupata ushindi, na pili lilitazama mazingira ya matatizo yaliyokuwepo ndani ya ccm na kugundua kuwa angesaidia kupata wabunge, jambo ambalo lingemwekea mazingira mazuri mbowe ya kugombea urais mwaka 2015
SOURCE: gazeti la sauti huru

Mpika majungu. tunawajua magamba njama zenu. hamuwezi kuyumbisha CDM kwa propaganda za kijinga kama hizi. mmeshindwa magamba mnatapatapa tu.
 
Walianza na propaganda za udini ndani ya Chadema hazikuzaa matunda, wakaja ukabila unfortunately kusini na kanda ya ziwa ndo zenye wanachama wengi ndani ya Chadema, now wanazungumzia ukanda kwa maana ya kusini, mashariki, kaskazini na magharib kwa akina Zito... NOW I KNOW KWAMBA CHADEMA NI CHAMA CHA UTANZANIA!

Nashukuru kwamba wameanza kutambua kwamba chadema imekamata kila angle ya Tanzania.
Ukiangalia alicho andika utaona kwamba amegusa kanda zote za Tz, hivyo ule wimbo wa kanda
ya kaskazini hauna nafasi tena. kilichobaki ni kanda ipi inanguvu zaidi ndani ya CDM, kuwa na nguvu
au kutokua na nguvu ktk chama kunatokana na uamuzi wa wanakanda husika kuiunga mkono CDM
Hivyo wale waishio ktk kanda zinazo onekana hazina nguvu wajitahidi kujiunga na chama ili nao wawe wengi
na wapate uwakilishi mpana zaidi.
 
Mkuu ebu weka paragraphs tuweze kuisoma vizuri.

Hapana. Ungemwambia aweke zile picha za mauaji ya Iringa ili tumsome vizuri.
CCM inajaribu kwa njia zote kuwasahaulisha watanzania kuhusu mauaji yaliyofanywa na polisi wao.
Mauaji haya kamwe hayatasahaulika, maana yalipangwa, na kutekelezwa kwa amri ya CCM.
Damu ya watanzania wasio na hatia mliowaua inawalilia kwa uchungu mkubwa, na itawafuata ninyi CCM na watetezi wenu pamoja na vizazi vyenu vyote mpaka mwisho wa maisha yenu.
Atawalaye kwa upanga, hakika atakufa kwa upanga.
 
chadema kina makundi makubwa matatu huku la kwanza likiundwa na idadi ya viongozi wanaotoka mkoani kilimanjaro na kuongozwa na mbowe, la pili lina watu kutoka manyara na arusha kiongozi wake ni dr. slaa, halafu la tatu linamuunga mkono zitto.
tofauti ya mawili ya kwanza, kundi hili la mwisho lina watu wanaotoka nje ya mikoa hiyo ya kilimanjaro, arusha na manyara, lakini jitihada zake huenda zisifanikiwe kwa kiwango kikubwa kutokana na sababu za maslahi zaidi.
zitto binafsi anafahamu kuwa yeye, mbowe na slaa kila mmoja anapambana kikamilifu ili kuhangaikia uteuzi wa kugombea uraisi katika uchaguzi mkuu ujao, lakini anaelewa ni jinsi gani inabidi apambane na ubanguzi mkubwa wa ukabila na ukanda.
anajua kuwa viongozi wenzake wanaotoka kilimanjaro wanafanya kila wanavyoweza ili mbowe ndiye aje kugombea urais mwaka 2015, kazi inayofanywa kwa kutumia ushawishi wa kisiasa na kifedha. anafahamu kuwa kamati kuu ya chadema imerudikwa na watu wanaotoka kilimanjaro ili wawe na nguvu, wale ambao kuna wengine ni wafanyabiashara wakubwa wakiongozwa na mwenyekiti wa chama hichi katika mkoa huo, philemon ndesasamburo. viongozi wengine wanaotoka kilimanjaro ni pamoja mbowe, mkurugenzi wa habari na uenezi john mnyika, mbunge wa kawe halima mdee, mbunge wa ilemela hayness kiwia, mkurungenzi wa fedha na utawala anthony komu na mkurugenzi wa bunge na halmashauri john mrema
Kundi hilo pia linasaidiwa na wabunge kama akina peter msingwa [iringa mjini] ezekieli wenje [nyamagana] joseph mbilinyi [mbeya mjini] joshua nasari [ arumeru mashariki] vincent nyerere [ musoma mijini] saidi arfi [mpanda mjini] mbunge wa zamani wa arusha mijini godbless lema.
Tofauti na hilo, kundi la dr. slaa linaudwa na kikundi cha wabunge wachache wa majimbo na baadhi wa viti maalum hususani wanaotokea mikoa miwili ya arusha na manyara, lakini kutokanana mzozo wa ndoa yao mkewe ambaye ni mbunge wa viti maalum, rose kamili hajihusishi nalo. aidha kundi hili pia halina nguvu za kifedha na hata ushawishi wowote mahali popote kwasababu ukimwondoa dr. slaa hakuna mtu mwingine yeyote mwenye nguvu kwa namna moja ama nyingine kisiasa.
Kundi la zitto ndilo halina idadi kubwa ya wabunge isipokuwa wachache tu ambao ukimwondoa yeye mwenyewe baadhi ya waliomo ni mkurungezi wa uchaguzi, msafiri mtemelwa pamoja na wabunge wa viti maalum wanatoka naye mkoa wa kigoma, muhonga saidi na philipa mturano. pamoja na juhudi anazofanya za kutaka augwe mkono na vijana mikoa yote nchini, tatizo kubwa linalokuja ni ukweli kwamba hata iweje hatateuliwa kuwa mgombea urais wa chadema katika uchanguzi huo mkuu wa mwaka 2015. hawawezi kuipata nafasi hiyo ya kwasababu hana wafuasi wengi ndani ya kamati kuu ambacho ndicho kikao kizito kuliko vyote na pia hatakiwi kwa namna zote na mwasisi wa chadema, mzee mtei. ni yeye aliyemzuia zitto kugombea nafasi ya mwenyekiti wa taifa mwaka 2009 akisema hawezi kuruhusu chama chake kichukuliwe na mtu asiyemfahamu "wapi anakotoka"
katika hali hiyo, nafasi ya kugombea uraisi mwaka 2015 ipo wazi zaidi kwa mbowe na siyo dr. slaa, zitto wala mwingine yeyote yeyote kutokana na uwepo wa makundi hayo matatu ingawa huenda yakaongezeka hapo baadaye. katika uchaguzi wa 2010 dr. slaa alishinikizwa kugombea uraisi kwa sababu tu kundi hilo lilijua kamwe hawezi kupata ushindi, na pili lilitazama mazingira ya matatizo yaliyokuwepo ndani ya ccm na kugundua kuwa angesaidia kupata wabunge, jambo ambalo lingemwekea mazingira mazuri mbowe ya kugombea urais mwaka 2015
SOURCE: gazeti la sauti huru
Hizi mbinu si mlishaziacha?au na hii ya kuua kwenye mikutana ya M4C nayo imeanza kuwarudi?
 
If the credibility of a story comes from the source then this story is not credible and a possible waste of space.
 
Back
Top Bottom