Mtanzania1
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 1,168
- 167
Nilidhani ni jukwaa huru ambalo kila mmoja anatoa mawazo yake kwa uhuru. Pia nadhani si vema ukamchukia mtu ambaye anamawazo tofauti na yako. Sote tuna nia njema ya kuboresha maishayetu ya sasa na ya vizazi vyetu baadae Tatizo kubwa ni njia ya kufika huko ndio kuna migongano. Ninaamini kumchukia mtu ni DhambiMkuu huyu jamaa simpendi kweli anatafuta umaarufu jf kitoto