Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,300
Kwani Candid scope ni mwandishi wa habari wa Deo Filikunjombe? maana kila upupu ukifanywa na Deo lazima utalipotiwa na Candid, au niyeye mwenyewe Deo anajiita Candid?
Ludewa,
Labda mimi sielewi vyema maana ya kufariji!!!
Hivi ni nini dhamira ya ujenzi na kuwaweka watu gerezani? Inawezekana sana ni kuwatenga na jamii............................
Kwani Candid scope ni mwandishi wa habari wa Deo Filikunjombe? maana kila upupu ukifanywa na Deo lazima utalipotiwa na Candid, au niyeye mwenyewe Deo anajiita Candid?
This is a wise move that Deo has made. You need to be wise to understand that any citizen can be incacerated.Our jails are disgrace to human race because of the attitude of impunity among people who have either ill gotten wealth or position of leadership in our community.

bora angekula na watoto yatima na kuwafariji kwao wafungwa si kwa sababu ya uongozi mbaya wa kesi za kubambkikiwa? yeye angeenda kuwapa watoto yatima sawa kwani wameathirika labda kutokana na wazazi wao wakati wao hawana hatia
watu bwana! akila na wafungwa upupu! akila na yatima upupu! akila peke yake noma!
https://www.jamiiforums.com/jamii-p...be-apitiliza-matarajio-ya-wengi-new-post.html
Kwani yeye ni nani asilie gerezani mpaka uone ni makubwa au ulifikiri yupo juu ya sheria
Nimeiona kule uani kwako. Kazi unayo ingawa na yeye kazi anayo pia!!Mimi nilishamgundua muda mrefu upekee wake tofauti na wanamagamba wengine, ndio maana sioni haya kumwanika juani.
Da! hii heading niliielewa vibaya kumbe!!
Cha muhimu mazingira yaboreshwe tu jela iwe ni kumnyima mtu uhuru wake na si Mateso...kama ilivyo sasa hivi..wanafisadi
Hao ndiyo wanasiasa wetu, mwisho wake atakwenda mpaka makaburini... mwisho wao.
Kula gerezani kama mfungwa ni ada ya wafungwa, lakini kwa mbunge kwenda kula sikukuu na wafungwa hii ni mpya katika historia ya nchi yetu, labda mwenzangu una kumbukumbu hapa nchini kiongozi aliyewahi kufanya hivyo, vinginevyo tumpe credit zake bila hiana.