Elections 2015 Makubaliano ya Jakaya na Lowassa na hatari ya Taifa kuanguka, Onyo kwa wajumbe wa CC

hata kama amecopy na kupest sisi wengine tumejifunza kitu kipya....shida ya watu huku wanajidai wanajua sana na kukosoa wenzao...kama wew ni mjuzi sana kakojoe ukalale tuacheni wengine tijifunza vitu vipya...big up bro Yeriko hakika numejifunza kitu na Mungu yupo upande wetu achana na wachumia tumbo wanaleta bra bra za kimagamba hapa....
 
ivi hiki kidingi hua kipoje wakuu? sasa hizi stori za kukopi hata tuseme tu tukubali ni zake zinahusiana vipi na mada kiloleta? wakati mwingine akili zikizid sana unakua utaahira
 
Jifunze kuandika summary...likitu reeefu hivi nani asom e au unatulipa kwa kusoma?

Tabia ya kutokutaka kusoma likitu lirefu ndo kulimponza Lowasa. Mpaka leo anaamini kuwa watanzania hawajui kuwa yeye ndo muhusika mkuu wa Richmond. Wenye kusoma mikitu mirefu walishasoma taarifa ya Mwakyembe na wanajua alihusikaje. Yeye mpaka leo anakomaa kuwa tatizo ni uwaziri mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Kumbe Jk na Lowassa ambao hawakukutana barabarani huko waliko kutana walitengeneza mambo mengi fake,kama walivyo kubaliana kuachiana urais bila idhini ya watanzania ambao ndio waajiri wao wa nafasi ya urais,makubaliano ambayo hayakuwa na Baraka za chama chao.

Ndiyo maana wameliingiza Taifa kwenye gharama kubwa kwa mikataba yao fake kwa kuwa wametoka mbali na mambo yao ya fakefake.
 
Lowasa na jk wapi na wapi mwacheni kumungamanisha Rais wetu na majizi kama Lowasa siyo sawa hata kidogo.

Kama EL ni mwizi kwanini JK na Serikali yake hawakumshtaki kama walivyofanya kwa akina Costa Mahalu?!.

EL ANA SIRI nzito YA RICHMOND.
na itajulikana ikiwa EL atakatwa.
 
Ni wavivu wa kusoma wabongo ila ingekuwa ya mapenzi wasinge complain kuwa ni ndefu

kusoma huu upuuzi wote neno kwa neno mpaka mwisho nao ni ujuha kama ujuha mwingine,,, walau basi angeandika marefu sana ila yanayohusiana. halafu nyie wapambe mpo tu bize mnakitetea hiki kitapeli kwa kipi hasa kilichoandika zaidi tu kimekunya mtandaoni asubuh asubuh.. acheni ku entertain u much-know wa hiki kidingi hawa ndo wale anazeeka anastaafu anajisifia kutembea nchi za dunia yote huku mpaka anastaafu bado anakaa kwenye mageto,,, huna hizo weweee
 
Makubaliano ya wawili hawa ambayo ni yamdomo chini ya viapo (Gentlemen agreement) ni suala linalotazamwa na wahusika hawa kwa jicho kali sana, msingi wa aina hii ya makubaliano unasimama katika TAMAA.

Kutoka hapo, wakaunda kitu kilichoitwa Mtandao wa 2005!. Kwanza walishughulika na kilichowakwamisha wasipate ile 2005!, Kikwazo hicho ilikuwa ni Mwalimu!, na nawahakikishia 2005 mwalimu angekuwepo kundi hili
lisingegombea, angewakwamnisha tena! Mungu si Yericko wala sio Apson, Mwalimu akatangulia mbele ya haki, chini ya King Maker ambae ushindi wa umoja huo, huenda Mungu alisikia kilio cha Jakaya na Lowasa, ni ukweli mchungu, Mwalimu alikuwa ni kikwazo kikuu kwao na kikaondoka!.

Ndani ya CCM kuna secret code ya zamu za kupokezana Bara na Zanzibar,na Mkristu na Musilamu, hivyo ikaamuliwa kwa vile "Mr. Clean" ni Mkristo, then kwenye team ya "Boys II Men", then wata mfield Muislamu!, ila kwa vile yule Mkristo alikuwa a bit older kuliko Muislamu, wakakubaliana "gentlemen's Agreement" Muislamu ataingia "One Term Presidency" ile 2005 na kumpisha mwenzake 2nd term, 2010!.

Kwamba kwa mujibu wa CCM secret code safari hii 2015 - ni zamu ya Mzanibari na ikiwezekana Mkristo.Je anaweza kuwa Jaji Ramadhani na kama ndiye nani alimleta na kwa Malengo gani?.

Lakini Makubaliano kama ya Lemera yanaleta shida tena kubwa tu,kwa maana tayari shida hii iko hatua ya pili na ya mwisho maana kama kosa tayari hapo kwenye Red kama kweli kuna huo uwepo wa GTA ya 2005.

Secret code ya pili ya CCM ni akitoka rais wa Bara, anayefuatia lazima atoke Zanzibar!, mtu aliyekuwa "groomed" kumpokea
Mkapa ni yule "Daktari", kwa vile 2005 mgombea wa CCM ilibidi lazima awe ni Muislamu na lazima atoke Zanzibar!, hivyo huyo Mzanzibar aliyeandaliwa Dr Omar Ally Juma nae alikuwa tayari amefariki, hivyo mpango wa mtandao huo ukawa akitoka mtu wa bara, arudi mtu wa bara kwa kisingizio hakuna mtu sahihi toka Zanzibar!,

Hivyo 2005, njia ikawa nyeupe kwa Jakaya wa Mtandao, yule Daktari mwingine wa OAU Salim A. Salim alipoingiza pua, alishughulikiwa "kikamilifu" na magazeti ya Rai na Mtanzania, aliyokuwa chini ya mtandao huo.

Historia inatukumbusha kuwa aina hii ya makubaliano haijawahi kuwa na matokeo chanya tangu kuumbwa kwa ulimwengu, hii inamaana kuwa mkataba wa Jakaya na Lowasa ni taraji la mauaji mtawalia.

Nadharia hii kwa namna mmoja ama nyingine kwa wanaojishughulisha kifikra inaleta hofu tena halisi uwepo wa idadi pana ya wagombea wa Uraisi ndani ya CCM kwa sasa ,hadhi yao,wasifu wao,historia ya utumishi wao,maisha yao kisiasa,kibiashara ,mahusiano yao kiutumishi na kibiashara na kisiasa vyote hivi ni dalili tosha kuwa kuna jambo haliko sawa!.

Wale waaminifu wasipochukua hatua sasa hata ya kuivujilia mbali taasisi yenyewe yaani Chama hali hii haitawaacha salama wengi wao ndani yake iwe huko Oct.2015 au safari ijayo.
Kwa hili huhitaji kuwa Prof.

Hili pia linanikumbusha historia hii.

JFK MURDER SOLVED - WHY WAS JFK KILLED?

The real proof is in the evidence gathered after the crime.​
One must consider the truths that are self evident if the murder of JFK is to truly be "solved."

Let us now clearly examine these truths:

1- The Kennedy family were/are members of "the elite" (players in international high finance circles) since the early days of Joseph Kennedy. John F. Kennedy was elected to office through monetary power and with the help of the Mafia. Without the total support of other members of "the elite" - he would not have become President.[SUP](2)[/SUP]

2- JFK and his brother, RFK, attacked organized crime in an effort to expose the Mafia to the public and curtail its power. JFK and Chicago mob boss Sam Giancana shared the same mistress, Judith Campbell Exner. Giancana helped JFK win the election in Illinois and on the east coast.[SUP](3)[/SUP]

3- Since 1942, the CIA and the Mafia have worked together in numerous clandestine operations.[SUP](4)[/SUP]

4- JFK refused to allow the CIA and American troops to attack Cuba thereby creating the infamous Bay of Pigs fiasco in 1961. Following that incident, General Charles P. Cabell, Deputy Director of the CIA, went around Washington calling President Kennedy a traitor. The CIA solicited the services of the Mafia to kill Fidel Castro.[SUP](5)[/SUP]

5- International bankers have controlled America for over 100 years.[SUP](6)[/SUP]

6- The Vatican Bank is one of the most powerful international financial institutions in the world. Paul Marcinkus, the sole American ever to rise to an executive position in the Vatican Bank, was from Cicero, Illinois, a legendary Chicago mob stronghold. In 1994, Marcinkus was accused of money laundering drug profits in a USA Today news report. Now a resident of Arizona, Marcinkus declined to comment.

7- CIA operatives and former covert agents using CIA planes and vehicles often control the transportation of narcotics from the source. The Mafia controls the global drug distribution network to the consumer. The defunct Nugan-Hand Bank in Australia as well as banks in the Cayman Islands and Switzerland have also participated in CIA/Mafia money laundering of drug profits.[SUP](7)[/SUP]

8- The public execution of John F. Kennedy was accomplished by a three man Mafia/CIA "firing squad" in association with a patsy, Lee Harvey Oswald. The CIA was aware of the attempt on JFK's life prior to 11/22/63 and flew in an "abort" team to Dallas on the morning of the "hit."[SUP](8)[/SUP]

9- In 1963, John F. Kennedy was preparing to amend the National Labor Relations Board statutes and various Internal Revenue Service statues that would prevent foreign flag shipping from being exempt from American income taxes. These amendments would have seriously affected Liberian shipping magnates and the assets of men such as Aristotle Onassis. Billions of dollars were at stake. President Kennedy was killed three days before he was to make these amendments public.[SUP](9)[/SUP]

10- In 1979, The House Select Committee on Assassinations concluded that there was a "probable conspiracy" in the murder of JFK and that organized crime members "possibly" were involved.[SUP](10)[/SUP]

CONCLUSION

The world will never know who the persons were that gave the "official" order to kill John F. Kennedy for those persons are either already dead, close to death, silent in fear of death, or they choose to remain silent until death.
 
Kumbe Jk na Lowassa ambao hawakukutana barabarani huko waliko kutana walitengeneza mambo mengi fake,kama walivyo kubaliana kuachiana urais bila idhini ya watanzania ambao ndio waajiri wao wa nafasi ya urais,makubaliano ambayo hayakuwa na Baraka za chama chao.

Ndiyo maana wameliingiza Taifa kwenye gharama kubwa kwa mikataba yao fake kwa kuwa wametoka mbali na mambo yao ya fakefake.

Wanufaika wa mpango huu ovu ni akina Pasco
 
Last edited by a moderator:
Summarize hoja zako sio kujaza kurasa kama vile huna kazi ya kufanya....! Mbona hutatoa mifano ya Putin vs Medvedev au Mugabe vs Canaan Banana au Mandela vs Thabo Mbeki........!
 
Summarize hoja zako sio kujaza kurasa kama vile huna kazi ya kufanya....! Mbona hutatoa mifano ya Putin vs Medvedev au Mugabe vs Canaan Banana au Mandela vs Thabo Mbeki........!

Maelezo ya hao watu sinayo, vp waweza kutufundisha hama jamvini mkuu?
 
Waego hongera kwa kuleta Uzi huu hata source yenyewe walikopi Na kupaste aliyekuwepo ni marehemu kabila
 
Makubaliano ya wawili hawa ambayo ni yamdomo chini ya viapo (Gentlemen agreement) ni suala linalotazamwa na wahusika hawa kwa jicho kali sana, msingi wa aina hii ya makubaliano unasimama katika TAMAA.

Kutoka hapo, wakaunda kitu kilichoitwa Mtandao wa 2005!. Kwanza walishughulika na kilichowakwamisha wasipate ile 2005!, Kikwazo hicho ilikuwa ni Mwalimu!, na nawahakikishia 2005 mwalimu angekuwepo kundi hili
lisingegombea, angewakwamnisha tena! Mungu si Yericko wala sio Apson, Mwalimu akatangulia mbele ya haki, chini ya King Maker ambae ushindi wa umoja huo, huenda Mungu alisikia kilio cha Jakaya na Lowasa, ni ukweli mchungu, Mwalimu alikuwa ni kikwazo kikuu kwao na kikaondoka!.

Kwamba kwa mujibu wa CCM secret code safari hii 2015 - ni zamu ya Mzanibari na ikiwezekana Mkristo.Je anaweza kuwa Jaji Ramadhani na kama ndiye nani alimleta na kwa Malengo gani?.

Lakini Makubaliano kama ya Lemera yanaleta shida tena kubwa tu,kwa maana tayari shida hii iko hatua ya pili na ya mwisho maana kama kosa tayari hapo kwenye Red kama kweli kuna huo uwepo wa GTA ya 2005.

Nadharia hii kwa namna mmoja ama nyingine kwa wanaojishughulisha kifikra inaleta hofu tena halisi uwepo wa idadi pana ya wagombea wa Uraisi ndani ya CCM kwa sasa ,hadhi yao,wasifu wao,historia ya utumishi wao,maisha yao kisiasa,kibiashara ,mahusiano yao kiutumishi na kibiashara na kisiasa vyote hivi ni dalili tosha kuwa kuna jambo haliko sawa!.

Wale waaminifu wasipochukua hatua sasa hata ya kuivujilia mbali taasisi yenyewe yaani Chama hali hii haitawaacha salama wengi wao ndani yake iwe huko Oct.2015 au safari ijayo.
Kwa hili huhitaji kuwa Prof.

Hili pia linanikumbusha historia hii.

Mkuu umeongea jambo mhimu sana, na hilo naamini linamuumiza sana Lowasa kwa sasa,

Lakini kwa Jk bado ni siri kubwa kama bado anatambua makubaliano haya au alishayatupilia mbali
 
Back
Top Bottom