Candid Scope JF-Expert Member Nov 8, 2010 11,890 6,899 Dec 17, 2011 #1 Hapa makonda jijini Iringa wakishikana mashati kwenye uringo wa kazi yao wakishuhudiwa na abiria wao, kitu ustaarabu unakosekana.
Hapa makonda jijini Iringa wakishikana mashati kwenye uringo wa kazi yao wakishuhudiwa na abiria wao, kitu ustaarabu unakosekana.
Lupweko JF-Expert Member Mar 26, 2009 20,704 20,466 Dec 17, 2011 #5 Wanagombana kwa ajili ya 'hesabu' ya tajiri, sio yao !!
Narubongo JF-Expert Member Nov 3, 2010 2,768 2,750 Dec 17, 2011 #6 Candid Scope said: Click to expand... hawa nawafahamu ni wanafunzi wa MUCE wapo 2nd yr