Makonda: Mimi ni Msema kweli, Rais wetu hajatuteuwa tuwe Wanafiki na Waongo sasa nasema Tanesco Mjitafakari!

Mwenezi wa CCM komredi Makonda amesema ukiona Rais Samia anavunja bodi ya shirika Ujue Uvumilivu imefika Mwisho

Kuna changamoto ya Mgao wa umeme na imekuwa kero kubwa kwa Wananchi hivyo Chama kinaagiza Tanesco Mjitafakari

Source: Mwananchi
Makonda mwenyewe mchafu, mikono yake imejaa damu za watu. Hana sifa wala hana hadhi ya kuwaambia TANESCO wajitafakari.

Doctrine of Equity: "He who goes for Equity Must Go With Clean Hands."
 
Mwenezi wa CCM komredi Makonda amesema ukiona Rais Samia anavunja bodi ya shirika Ujue Uvumilivu imefika Mwisho

Kuna changamoto ya Mgao wa umeme na imekuwa kero kubwa kwa Wananchi hivyo Chama kinaagiza Tanesco Mjitafakari

Source: Mwananchi
Ukitaka kujua mwanasiasa mnafki lazima kwenye maongezi yake akimbilie kujificha kwa wananchi..
 
Chama kinakosa maamuzi yenye tija Kwa Jambo zito kama hili la umeme, Wizara ya NISHATI imekuwa kama Shati lenye matundu , Mramba aliye fail kuiendesha TANESCO Kwa miaka 3+ anakuwa katibu mkuu nchi iko na ujinga mwingi mno .
BITEKO ni mzigo ameikwepa wizara ameelemea kwenye uratibu tu wa kazi za serikali, hivi ni kweli CCM umeshindwa fikiria kupata kampuni za kuzalisha umeme Kwa dharura kama ilivyokuwa AGGREKO na kuwaacha wananchi kwenye mgao mzito . Raisi SSH atambue hii si miaka ya 70 ujinga umewaisha watu tena Kwa sana, hiyo Wizara ni fupa gumu litakuvunja meno au umdondoshee mtu jumba bovu mapema.
Kuvunja bodi haina tija ikiwa waziri ni wa hovyo na Hana mipango ya uhakika katika kuleta tija ya umeme wa uhakika Kwa wananchi.
 
Makonda mwenyewe mchafu, mikono yake imejaa damu za watu. Hana sifa wala hana hadhi ya kuwaambia Thayo maswali ya kishenzi na kipumbavu anatakiwa aulizwe Mwenyekiti wa Vilaza FC inayoundwa na Mbowe, Lema, Msigwa na Sugu vilaza wanaoongoza nyumbuANESCO wajitafakari.

Doctrine of Equity: "He who goes for Equity Must Go With Clean Hands."
hayo maswali ya kishenzi na kipumbavu anatakiwa aulizwe Mwenyekiti wa Vilaza FC inayoundwa na Mbowe, Lema, Msigwa na Sugu vilaza wanaoongoza nyumbu
 
Mwenezi wa CCM komredi Makonda amesema ukiona Rais Samia anavunja bodi ya shirika Ujue Uvumilivu imefika Mwisho

Kuna changamoto ya Mgao wa umeme na imekuwa kero kubwa kwa Wananchi hivyo Chama kinaagiza Tanesco Mjitafakari

Source: Mwananchi
Ukichukua magazeti ya mwaka 2012 ukasoma taarifa zake, yote Kuna porojo za hivi hivi za Makonda.
 
Wananchi tunaomba tanesco ibinafsishwe
Sirikali ibakie na 25%ya uwekezaji wake baada ya kuivunja vipande 3,uzalishaji,usambazaji na Huduma(ikiwa na maana unganishaji kwa wateja na ubora wa huduma yenyewe).Hii ingepelekea mzalishaji kutafuta namna ya kuzalisha zaidi,naye msambazaji angetafuta namna ya kusambaza zaidi,naye mtoa huduma kwa mteja angetafuta kuwafikia wateja na kuhakikisha ubora wa huduma zaidi.
 
Binafsi, hizo kauli za CCM na Serikali yake, zote ni porojo tu. Hakuna jipya.

Sioni sababu za msingi za kusingizia mapungufu ya kila kitu na ya kila ya aina....Oh mvua ni pungufu, oh miundombinu ni punguru, oh bwawa ni pungufu, oh bodi ni pungufu...nye nye nye nyingi tu Wakati wanajua wanataka kuimega na kuigawia kwa wazungu na waarabu.

...waseme tu wana mapungufu ya korodani na wanahenyesheka na rushwa, "the truth shall set them free"

arrrg, kuamka kila siku na makamasi yenye masizi ya koroboi inakera sana
 
Back
Top Bottom