Baada ya Makonda kuwasema Tanesco, mgawo wa umeme umeisha

live on

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
792
1,268
Hi nchi ina vituko sana ina maana Tanesco wanamuogopa Makonda kuliko Rais makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Waziri wa Nishati na wananchi.

Maana Baada ya mvua kunyesha na mgao kuendelea wananchi walipiga sana kelele na kuinyoshea vidole serikali kutaka kujua kwanini mgao wa umeme bado upo lakini Tanesco hawakushituka Ina maana wanajua kabisa viongozi wakuu wa hii nchi wanawamudu.

Ila Baada ya Makonda kuwanyoshea vidole mgao umeisha.

Hi ni dharau Kwa serikali nakushauri Rais timua vigogo wote wa Tanesco.
 
Nadhani wameamua kutoa ofa kipindi hiki cha sikukuu, Tanzania hii mgao hauwezi kuisha chini ya hii era.
 
Kwetu umeisha maana ilikuwa kilasiku kama haujakatwa sa 12 asubuhi na kurudi jioni basi utakatwa sa 12 jioni na kurudi usiku mwingi ila Sasa yapaya wiki haujakatika
 
Hi nchi ina vutuko sana ina maana Tanesco wanamuogopa Makonda kuliko Rais makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Waziri wa Nishati na wananch...
Umeisha wapi wakati umeme unakatika unamakiza saa unarudi unakatika tena. Watanzania mnakuwa kama mambumbu
 
Mgao bado haujaisha.

leo tarehe 29 mwezi wa 12 Tabata Kisukulu umeme umekatwa saa 12 asubuhi na umerudishwa saa 12 jioni
 
Nadhani wameamua kutoa ofa kipindi hiki cha sikukuu, Tanzania hii mgao hauwezi kuisha chini ya hii era.
Huku niliko mgawo umerejea jana.

Jana umeme ulirudi saa 6 za usiku.

Leo ulikatika saa 4 asubuhi na kurejea sasa hivi kama dakika 5 zilizopita.

Ilikuwa ni offer ya krismas tu
 
Kwetu umeisha maana ilikuwa kilasiku kama haujakatwa sa 12 asubuhi na kurudi jioni basi utakatwa sa 12 jioni na kurudi usiku mwingi ila Sasa yapaya wiki haujakatika
Kesho jioni ulete mrejesho
 
huwa naweka simu chaji usiku saa nne kukiwa hamna umeme, nafanya kutegesha tu..

nalala naamka saa 12 asubuhi nakuta simu iko Full charge na umeme haupo😅😅😅😅
 
Leo nimepita Iringa nikienda Sumbawanga na nimekutana na hili. Poleni watu wa Iringa. Kazi iendelee.
IMG-20231229-WA0022.jpg
 
Back
Top Bottom