samsolo the great
JF-Expert Member
- Jul 9, 2021
- 682
- 1,016
Huyo Makonda ingekuwa bora angejikita kwenye mambo ya maana kama vile kutoa majibu kwa nini kuna inflation na kwa nini wahitimu wa kidato cha nne wengi wamepata division IV licha ya serikali kusema imewekeza mabilioni ya pesa kwenye programu ya elimu bure.Nchi hii ina matatizo luluki ambayo yanatakiwa kupatiwa ufumbuzi kuliko kuendelea Kuwananga akina Lissu