mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 19,127
- 46,111
We ule mzigo unauonajeAlitembea na wake zao, sivyo? Hebu ieleze vizuri Mahakama Mkuu.
We ule mzigo unauonajeAlitembea na wake zao, sivyo? Hebu ieleze vizuri Mahakama Mkuu.
Acha UCHAWA ,Jacob Zuma alikaidi wito wa mahakama,hatimaye mahakama ikatoa amri akamatwe.
Kichwani umejaza funza, what a waste...Brother relax! Hata Mbiguni kuna madaraja, wewe huwezi kukaa meza moja na Malaika au Mitume huko Mbinguni!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Dogo mchawi sana,ndiye aliyemfanya mwenda zake atukane hata wazee bila wogaMahakama ya Tanzania Sijui imekosa nguvu Kwa sababu ya chama au Kwa sababu ya serikali au Jaji mkuu ameshindwa kuwapa Imani waliopo chini yake?
Raia anaitwa na Mahakama yupo Kigamboni au Masaki anagoma kufikia mahakani Wala kutuma mwakilishi na uongozi wa Mahakama upo kimya...
Akitia maguu tu lazima abanikwe♨️.Sitaki kuamini kwamba hajapata tetesi wala taarifa ya kinachoendelea juu yake.
Na kwa kuwa tunaamini aliitumikia nchi kwa uaminifu mkubwa alipokuwa RC wa Dar hivyo sisi wengine hatuoni ni kwa sababu gani ashindwe kuitikia wito wa mahakama kwa wakati ili haki itendeke.
Nawatakia asubuhi njema watanzania wote
Wazito akina nani sasa?? Mahakama ni muhimiliKama kweli kuna nguvu ya mtu nyuma yake tutajua ukweli baada ya hii hatua ya mahakama ya kutaka atangazwe magazetini kufeli, asipotokea tena hapa kweli patakuwepo na wazito au mzito anayemlinda Makonda.
Tuendelee kuiamini mahakama yetu. Imtendee haki imsafishe RcMahakama iko mikononi mwa watu,
Kule hakuna haki.
Analijua hilo.
Hakuna mtawala asiyepita Kwa waganga , kama wapo only handful percent, things are not easy in such, Samia anapita kwa machief unafkr anapenda?Bashite ni mjinga ajielewi thus alifanya ujinga kwa mtu aliyeelimika asingefanya uovu ule...
Sio wote ni washirikina ushirikina ni imani binafsi mtu aliyowekewa au kujiwekea kulingana na mapokeo yake. Na zaidi ni inferiority complex ndio umfanya mtu kutegemea waganga au mitume Ili ajibalance kisaikolojia.Hakuna mtawala asiyepita Kwa waganga , kama wapo only handful percent, things are not easy in such, Samia anapita kwa machief unafkr anapenda?
Bashite kuachia ngazi ukuu wa mkoa siyo kuwa alikuwa Fala, na kinachoendelea anakijua kuliko unavyojua , Acha afanye analoona linafaa, nendeni mkamtafute.
Utetezi wakijinga.mbinguni ulishafika wewe?.Brother relax! Hata Mbiguni kuna madaraja, wewe huwezi kukaa meza moja na Malaika au Mitume huko Mbinguni!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app