Makonda aiagiza Serikali impe Mbowe kibali cha kuruka na Helicopter na kama hana mafuta ameongea na Rais ili wamsaidie

Katibu mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda amesema amemuona Mbowe akiwa Songwe Lakini hana helicopter kama tulivyomzoea

Hivyo Makonda ameviagiza Mamlaka za Serikali zinazohusika na Utoaji wa vibali vya anga wampe Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe Kibali na kama hana mafuta aseme kwani ameongea na Rais Samia waweze kumsaidia

Chanzo: EATV
Kumbe bado hajabadilika chochote.
 
Si kumchukulia serious tu.Huyu mtu ameshindwa kuanza na ya chama chake arukie ya vyama vingine?Kuna nini? What's the motive behind?Blood sucker!Asili huwa haiachwi kwa wepesi.Vengeance!
Lumumba baada ya kuona watu wanafanyacomparison ya mama na jiwe na jiwe kubeba marks nyingi wamecheza mchezo mmoja wa kijanja wanatumia wafuasi wa jiwe kupata trust kwa sukuma gang na kundi lililokuwa upande wa jiwe
 
Katibu mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda amesema amemuona Mbowe akiwa Songwe Lakini hana helicopter kama tulivyomzoea

Hivyo Makonda ameviagiza Mamlaka za Serikali zinazohusika na Utoaji wa vibali vya anga wampe Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe Kibali na kama hana mafuta aseme kwani ameongea na Rais Samia waweze kumsaidia

Chanzo: EATV
Hii inaonyesha nchi gani tunayo. Vibali vinatolewa na kunyimwa kwa matamko na sio sheria. Nchi hii sijui utoto utaisha lini
 
Katibu mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda amesema amemuona Mbowe akiwa Songwe Lakini hana helicopter kama tulivyomzoea

Hivyo Makonda ameviagiza Mamlaka za Serikali zinazohusika na Utoaji wa vibali vya anga wampe Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe Kibali na kama hana mafuta aseme kwani ameongea na Rais Samia waweze kumsaidia

Chanzo: EATV
Erythrocyte mmekabidhiwa mtoto wa kambo awashughulishe.

Huwa hashirikishi ubongo huyo
 
Hivi kuna mtu amewahi kwenda kufungua kesi kwa hili? Shutuma nyingi za Makonda na viongozi wengi Serikali na chama, kelele zinakuwa nyingi bila hatua kuchukuliwa.

Wapinzani wanapiga kelele na hakuna kesi hata moja inafunguliwa hata kwa udhahidi wa repoti za Mkaguzi mkuu.
Na kama shutuma siyo za kweli mbona na yeye hajawahi kwenda mahakamani kiwashitaki wanaomtuhumu?
 
Katibu mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda amesema amemuona Mbowe akiwa Songwe Lakini hana helicopter kama tulivyomzoea

Hivyo Makonda ameviagiza Mamlaka za Serikali zinazohusika na Utoaji wa vibali vya anga wampe Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe Kibali na kama hana mafuta aseme kwani ameongea na Rais Samia waweze kumsaidia

Chanzo: EATV
Ana maana aruke na chopa ili waitungue makonda anawaza kuua tu. Ila na yeye hafiki mbali
 
Back
Top Bottom