Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,191
Kamanda Shimbo; hiji jeshi ni letu na tunalipenda sana sana ila matamshi yako wewe mwenyewe hapo mmhhh!!!
Takribani wanajeshi 443/343 inasemekana wamefyekelewa mbali na hayo mabomu,na huu mchongo haukutegegemewa kama ungeleta madhara makubwa kama haya kama staff sergent aliyekuwa atekeleze zoezi hilo angeenda mwenyewe,lakini yeye akamtuma kilaza asiyejua chochote.Ndugu wanaJF kua kitu kinanishangaza, hivi katika milipuko ya mabomu Gongo la Mboto hakuna wanajeshi aliojeruhiwa na kufa? Mbona hatuambiwi?
Wanajeshi = watanzania = watu
Upo hapo?
Ndugu wanaJF kua kitu kinanishangaza, hivi katika milipuko ya mabomu Gongo la Mboto hakuna wanajeshi aliojeruhiwa na kufa? Mbona hatuambiwi?
Wanajeshi = watanzania = watu
Upo hapo?
Mkuu,
Kuna wanajeshi zaidi ya 4 wamepoteza maisha. Ngoja niendelee na i ntelijensia yangunitakuja na majina kabisa. Kuna malalamiko ya ufanyaji kazi katika mazingira magumu hasa kwa sakari wa vyeo vya chini. Kifupi ni uzembe tu ndicho kilichopelekea maafa hayo.
TUMEYALIPUA SISI WENYEWE NA YAMETUUA SISI WENYEWE NINYI TAARIFA YA NINI ...MBONA HAMKUULIZA DARFUR TUMEKUFA WANGAPI NINYI MSITUFUATE FUATE.
Yamewashinda ninyi sisi tutayaweza kwa kuitia serilkali hasara ghala hadi ghala kwa ujiti wa kiberiti cha 50/=tu. kutoka katika kodi zenu...kudadadeki.
Hivi huu ni ugonjwa gani? Inabidi upelekwe kusafisha kizazi. Thread hii na ukristu wapi na wapi.
Hivi huu ni ugonjwa gani? Inabidi upelekwe kusafisha kizazi. Thread hii na ukristu wapi na wapi.
Nilivyosikia maelezo kutoka jeshini, ni kwamba baada ya askari kuona gala namba 5 linaungua wakataarifiana wakatako nje ya kambi. Baada ya kumalizika tukio kuingia ndani ndo wakagungua magala mengine yote 23 yaliungua nayo.
My Take: Hawa sio watu wa kulinda nchi yetu hata siku moja. Instead ya kutake measures kucontain uunguaji wa gala no.5 wenyewe wakajisalimisha nje ili hali wanajua yale makombora yalikuwa yanaruka na kutua kwenye makazi ya watu. Sasa hawa kweli ndo watasacrifice maisha yao kupigania nchi yetu? Bure Kabisa nchi hii.