MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
- Thread starter
- #41
Hahahaha MwanajamiiOne, Kongosho, King'asti, Lizzy, Smile, Kipipi, Kaunga na wajukuu zangu wote bila kumsahau mzee mwenzangu Bishanga..... Babu yangu Mtuweta (RIP) aliwahi nambiaga hakuna kitu kizuri na kitamu kama kuoana na rafiki yako. Na ili ujue na ujihakikishie kuwa uliyemuoa ni rafiki yako ni pale unapothubutu kuachia kaushuzi mbele yake bila woga.... Hata kama kaushuzi kenyewe kanaambatana ile harufu ya matokeo ya kufakamia mayai ya kuchemsha na maharage.......
Samahani kama nimewakwaza lakini habari ndio hiyo.
Mungu aendelee kumlaza genius Mtuweta mahali pema peponi. Amen
Hahahaha Babu bwana, ...............haya nimekusoma mjukuu wako Mtiifu.