Makinda leo kafanya maamuzi sahihi

MARUMA J

Member
Jun 10, 2011
48
9
Nimekuwa nafuatilia bunge mara nyingi ila sijawahi kuona spika wa bunge akisimamia mambo muhimu amwagiza naibu waziri kwenda kutafuta majibu kwani alitoa majibu ambayo hatoshelezi!

Ni muda mrefu mawaziri au manaibu waziri wanajibu ovyo ovyo au kutoa irrelevant na spika anaridhia.
 
Its time mh.spika ujenge heshima yako na bunge kwa jamii.stand firm and be independent.you will earn our respect.pia utawajengea wanawake wengne kukubalika zaidi kwa jamii na hvyo kuwapa cönfidence of vying for bigger positions in the society.i believe UNAWEZA!
 
Nimekuwa nafuatilia bunge mara nyingi ila sijawahi kuona spika wa bunge akisimamia mambo muhimu amwagiza naibu waziri kwenda kutafuta majibu kwani alitoa majibu ambayo hatoshelezi!

Ni muda mrefu mawaziri au manaibu waziri wanajibu ovyo ovyo au kutoa irrelevant na spika anaridhia.
Hebu dokeza mkuu, swali gani na ni waziri gani huyo kaonja joto la jiwe la makinda?
 
Nimekuwa nafuatilia bunge mara nyingi ila sijawahi kuona spika wa bunge akisimamia mambo muhimu amwagiza naibu waziri kwenda kutafuta majibu kwani alitoa majibu ambayo hatoshelezi!

Ni muda mrefu mawaziri au manaibu waziri wanajibu ovyo ovyo au kutoa irrelevant na spika anaridhia.

sasa mbona mnaweka nusu nusu? nani kauliza swali? na lilikuwa linasemaje? na huyo alishindwa kujibu ni wawizar gani? na alijibuje. tujuzeni tuliyombali na TV bana
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana yaani kwa issue moja tu tayari tunakuwa lobbed na kumwaga sifa kedekede na vipi akiharibu tena leo hii hii?mtaendelea kusifia ama mtaponda kama kawa,haya mambo ya siasa hayaitaji emotional appraisal tunatakiwa kujiridhisha ktk issues tofauti tofauti ndo tumwage sifa zetu if possible...tunaomba hyo ishu tuambiwe make huku Ngeleja kakata umeme
 
alianza Leticia Nyerere kuuliza ni makampuni mangapi na yapi yaliyonufaika na mabilioni yaleyotengwa na serikali kwa ajilii ya kurescue nchi katika kipindi cha mporomoko wa uchumi duniani. akajibu naibu waziri wa uwekezaji kwa kusema kwamba hayo mambo ni siri hayafai ktoa hadhara.ndio Mbowe akasemama na kumbana vilivyo naibu huyo hadi spika alipomuamuro kwa kanuni naibu waziri kuandaa majibu kwani majibu aliyotoa hayatoshelizi
 
alianza Leticia Nyerere kuuliza ni makampuni mangapi na yapi yaliyonufaika na mabilioni yaleyotengwa na serikali kwa ajilii ya kurescue nchi katika kipindi cha mporomoko wa uchumi duniani. akajibu naibu waziri wa uwekezaji kwa kusema kwamba hayo mambo ni siri hayafai ktoa hadhara.ndio Mbowe akasemama na kumbana vilivyo naibu huyo hadi spika alipomuamuro kwa kanuni naibu waziri kuandaa majibu kwani majibu aliyotoa hayatoshelizi​
 
Kusema kweli sioni cha kumsifia makinda, alichofanya ni kumuokoa waziri kwa kutumia kanuni kwamba akajipange.. angeacha aendelee kubanwa coz alileta porojo :)

naomba niulize, kati ya hawa viongozi wa juu nani ana afadhali JK, BILAL, PINDA na ANA MAKINDA?? kama vile wote wamejaa lawama au tatizo ni chama walichotoka?
 
alianza Leticia Nyerere kuuliza ni makampuni mangapi na yapi yaliyonufaika na mabilioni yaleyotengwa na serikali kwa ajilii ya kurescue nchi katika kipindi cha mporomoko wa uchumi duniani. akajibu naibu waziri wa uwekezaji kwa kusema kwamba hayo mambo ni siri hayafai ktoa hadhara.ndio Mbowe akasemama na kumbana vilivyo naibu huyo hadi spika alipomuamuro kwa kanuni naibu waziri kuandaa majibu kwani majibu aliyotoa hayatoshelizi​

sawa next time ujifunze kuleta taarifa siyo unatoa kama vile wote tunaangalia kabunge kenu. wengine tushachoka tunaangalia bunge la burundi na kenya kupitia kingamuzi
 
Nimekuwa nafuatilia bunge mara nyingi ila sijawahi kuona spika wa bunge akisimamia mambo muhimu amwagiza naibu waziri kwenda kutafuta majibu kwani alitoa majibu ambayo hatoshelezi!

Ni muda mrefu mawaziri au manaibu waziri wanajibu ovyo ovyo au kutoa irrelevant na spika anaridhia.

Amesoma alama za nyakati, CCM karibu inapelekwa kuzimu sasa akiendelea kuibeba siku inaanguka anaanguka nayo.
 
Angalau na wewe umeliona na kusifia sio kila siku kuiponda serikali na spika nk...
Unataka asifie hata utumbo eti kisa serikali?kizuri chajiuza,mkitetea wananchi tutawasifia tu!lakini mkiendelea na unafiki lazima mkosolewe milele bila kuchoka.
 
ameanza kusoma harama za nyakati.naibu waziri wakti anamjibu nyerere, kaanza kupongeza na spika makinda kamkata nishai kwamba apa hatutaki kupongezana bali jibu swali.naibu alianza kujimng'unya
 
Kwa kuwa waliopalilia uspika wake wameshaanza kugeukwa na kutoswa(e.g RUSTOM),anaona hana la kupoteza.Panga lamjia yy mda si mrefu lets wait and see
 
Angalau na wewe umeliona na kusifia sio kila siku kuiponda serikali na spika nk...

Mnaosababisha serikali kupondwa ni nyinyi JF members mliotumwa kuleta hoja zisizo na mshiko nadhani kiongozi wenu ni FF. Na wewe anza kuandika kitu makini kinachofanywa na serikali utaungwa mkono. Lakini kama akili yako ime-engage gear ya NAPE(NEPI) utapuuzwa tu na kujibiwa vilivyo. USISAHA ACTION AND REACTION ARE EQUAL AND OPPOSITE
 
Back
Top Bottom