Makengeza huitwaje kwa Kiingereza?

RALO

Member
Jan 31, 2012
46
13
Wadau nahitaji kujuzwa makengeza ya macho kwa kiingereza yanaitwaje

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
makengeza ni cross eyes.

na mimi ningependa kujua "kutega" kwa kiingereza ni nini? Mfano, yule shangazi ananitega, polisi walimtega akakamatwa, mshambuliaji wa Yanga alitegwa na mabeki akawa off side. Katika muktadha huo, neno "tega" tunasemaje?
 
mkuu kama anakutega kimapenzi neno seduce nahisi linafaa...ila kwa muktadha wa polisi au huo wa mabeki neno tega linaweza kuwa trap au plot .....baada ya kusema hayo mimi nilikuwa nauliza neno "kigugumizi" kwa kiingereza ni nn?
 
Kigugumizi ni "stutter." Unaweza kulicheki zaidi online kuna maelezo mazuri.

Kuhusu "kutega," nililifikiria hilo neno "trap," ahsante sana, lakini nikakwama mahala. Tatizo la trap ni kwamba, ukisema "the police trapped the thief" inamaanisha wamemkamata mtegoni tayari. Mimi nataka kabla hawajambaka mtegoni, wamemtega tu. Ndo hapo "trap" inapogomba.
 
Matokeo ya division 5 yanaanza kujionyesha wazi hapa. Hayo maneno mnajiuliza enzi zangu nilikuwa nayajua yote niko form 2!!!
 
makengeza ni cross eyes.

na mimi ningependa kujua "kutega" kwa kiingereza ni nini? Mfano, yule shangazi ananitega, polisi walimtega akakamatwa, mshambuliaji wa Yanga alitegwa na mabeki akawa off side. Katika muktadha huo, neno "tega" tunasemaje?

ni LURE au BIAT
 
Squinty eye sio makengeza mkuu bali ni hali ya kufinya macho au macho kuwa katika hali ya kujifinya mithili ya mtu aangaliaye kwenye jua kali...

Strabismus haswa ni neno sahihi na wakati mwingine maneno 'heterotropia' au 'colloquially' hutumika kumaanisha macho kupishana (makengeza).

Na ile jicho kama linacheza cheza ni nini? Na inasababishwa na nini?
 
Back
Top Bottom