BROKE BOYS
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,244
- 39,143
Ndugu zangu wana JF naombeni kujua makato ya kuhamisha pesa NMB kwa NMB gharama zikoje? Kutokana na matozo tuliyowekewa naomba kufaham gharama zikoje.
Kuna mtu natakiwa nimtumie 5,000,000 sasa kutoa nimejua nitakatwa si chini ya 20k afu yeye ana NMB nimeona bora nimtumie makato yawe juu yake. Kutuma million5 gharama zikoje.
Ahsante