Makatibu wa wilaya wa CCM graduates hawafiki watano nchi nzima

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Habari kutoka ndan ya CCM, KWA katibu wa CCM mkoa fulani, aliniuma sikio kuwa CCM Inamatatizo sana kwasababu makatibu wa CCM ngazi ya mikoa na wilaya Graduates hawafiki wa Tano.

Ingawa wao wanahimza kusoma kinafiki.
 
Watoto wa wakubwa hao wasome ya nin wakat wanawekwa tu acha wasomi tujazane kazi hamna halafu tuone tutachotokea..
 
Kwani wao ccm wanataka wasomi ili wawachallenge kwa sasa wanakumbatia wasio roma ili waweze kufanya wanachotaka bila kuulizwa
 
Hapo ni ukweli mtupu.Rafiki yangu wa karibu ni katibu wa CCM Wilaya fulani.Hana shule kabisaaaa.Alisoma mpaka std 7.sasa anakula maisha bora.Kweli kusoma sana hakuna faida ndani ya TZ.
 
Walimkatalia Mrema nyakati zile URAIS eti hana DEGREE. sasa wanasema ujue kusoma na kuandika unaweza kuwa KIONGOZI. Mfano Mbunge wa KOROGWE. shule za nini ikiwa UONGOZI ujue kusoma tu na kuandika?
 
CCM hawana historia ya kujali elimu na ndio maana wametelekeza shule za kata na hata walimu, ndio iwe kwa makatibu wa chama?? Wanajua kabisa wakiwaendeleza halafu wakajitambua itakuwa balaa. We fikiria Nape na cheo alichonacho elimu yake ni ya kuunga unga sana.
 
Hakuna kiongozi wa ccm anayeweza kukubali kuwa challenged ndo maana wanapata nguvu kutoka kwa Watz wenye shule finyu!
 
Walimkatalia Mrema nyakati zile URAIS eti hana DEGREE. sasa wanasema ujue kusoma na kuandika unaweza kuwa KIONGOZI. Mfano Mbunge wa KOROGWE. shule za nini ikiwa UONGOZI ujue kusoma tu na kuandika?

Wako wengi sana kuna yule Lameki Airo wa Rolya std 7 ya mwisho kabisa,CCM ni mambumbumbu tu.
 
Ikitokea wakitangaza kazi za ukatibu wa Wilaya, then wee kama graduate utaomba kweli? utaweza maziwa kuita asali na mkaa mweusi kuita chaki nyeupe? Yataka vichwa zuzu tu ndo wanaoweza kufanya hayo
 
Usishangae wala kujidanganya kuwa elimu haina faida. Ulitegemea mbumbumbu kama Yusuf Makamba awateue watu waliokwenda shule siyo? Hiyo ndiyo CCM kinacho-matter hapa si elimu yako bali ni mtoto wa nani au anajuaje kujipendekeza na kujikomba kwa wakubwa hata kugawa mwili kwa akina sisteri.
 
Mbona baraza lote la mawaziri limejaa ma dokta na hakuna lolote linaloongeza faida kwa watanzania. Yani walioo soma sana tanzania ndio waoga kabisaa kuwa wabunifu wamezoee ajira tuuu na kufuja mali za uma hata wakichemsha hawaachii ngazi.
 
Ni ukweli mtupu uliyozungumza bana hawataki watu wenye elimu naona
 
Kirumbe Ng'enda aliyekuwa Katibu wa Mkoa Dar kabla ya kutimuliwa mwaka jana elimu yake ni ya Msingi 1983 huko Kigoma.
 
Kana wewe ni msomi jiunge na ccm, gombea nafasi ambayo haina msomi.usomi wako hauna maana kama hushiriki bali unalalamika
 
kumbe kamati yao ya taifa(nec) inawaburuza hawa wa viongoz wa wilaya na kata kisa hawana elimu... (+polisi)

hatari sn.
 
kumbe kamati yao ya taifa(nec) inawaburuza hawa viongoz wa wilaya na wa kata kisa hawana elimu... (+polisi)

hatari sn.
 
Kuna mmoja huku nilikuwa na shida ya kadi za chama badala ya sh 300 kwa kadi kanambia nitoe 900 kwa kadi ili nizipate faster.....from that day......
 
Back
Top Bottom