Hata kama c.ronaldo na timu yake ya taifa ni majanga timu mbovu sana ilePortugal wapo Euro kaka
Tupo...kama kawa kama dawa...nimeomba likizo kazini ili nilisongeshe le kapukuz!Wakuu mko poa!?
Hili la vigezo bana limeniangusha sana maana ningeshaopoa goma humuJoin tu ila usajili hupati kwa kua hujakidhi vigezo
Ila karibu
Ha haaa... Italy Si tangu 2006 braza.... Italy ya Siku hizi kama maan yuuHata kama c.ronaldo na timu yake ya taifa ni majanga timu mbovu sana ile
Mi na italy damdam
Sasa we tangu 2009 unataka usajili wapi na wapiHili la vigezo bana limeniangusha sana maana ningeshaopoa goma humu
Nimeshakata shauri ya kufungua account mpyaSasa we tangu 2009 unataka usajili wapi na wapi
Ha Haaaa..... Wacha weeee...Tupo...kama kawa kama dawa...nimeomba likizo kazini ili nilisongeshe le kapukuz!
Swafiii...aiss kuna watu mnafaudu...Wapo wengi....sio Huyo unae mjua! Ni yule umfahamuye braza....
Swalama lakini!
I love Youhaya sasa hv mda umeenda asbuhi na simamia pambano na kiumande..Unipe mrejesho
Tuko vizuri sumbai mpaka tunafuzu euro 2016 hatujapoteza mchezo hata zile za kirafikiHa haaa... Italy Si tangu 2006 braza.... Italy ya Siku hizi kama maan yuu
OoopsJoin tu ila usajili hupati kwa kua hujakidhi vigezo
Ila karibu