Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,364
- 35,006
Sana tuTena anayefanyia bank
Sana tuTena anayefanyia bank
Nani huyo ibra ? Mwenzangu ni sumbai huyo Au?safi tu mpendwa! mwenzio hajambo
Karibu
Jimix
Ukizubaa umeachwa stand
..........................
Si unajua tena kiswahili kigumu.Itakuwa anaishi USA.
Au anajua pakitamkwa kwa kingreza
Kumbe unaishi ngarnanyuki... mimi nimesoma kisimiriSi unajua tena kiswahili kigumu.
Safi sana.Kumbe unaishi ngarnanyuki... mimi nimesoma kisimiri
Na hasa kwa wa mikoani...Si unajua tena kiswahili kigumu.
Kama mimi.Na hasa kwa wa mikoani...
Ujumbe wa leoView attachment 337350
Haya good morning all kapuku....
Amkeni tukalijenge taifaaa.....
Rollcall ya Leo...
Th Name
Bitoz
Jimena
youngblood
amazing
cute b
ibra87
deokimaro
punje haradari
@thamoo
HULILO
sizzya007
Nahrene
UncleBen
Mganga mshana jr
jonax
sammoo
GITWA
eden kimario
HOPECOMFORT
Bila kumsahau shemeji lizzybete
Swalama salimini mkuu vp weweHumu ndani swalamaaaa
Morning babytoMorning!
Hiyo avatar yaki bana...sijui najisikiaje hata sielewiHumu ndani swalamaaaa
Morning sweetMorning babyto
Za kuamka my love?Morning sweet