Haya basi karibu...Napajua kabisa hapo ila sijawahi kutolea hapo hela niko njiani
Haya basi karibu...Napajua kabisa hapo ila sijawahi kutolea hapo hela niko njiani
usinifanye kitega uchumi mwana wa mwenzioMasharti utayaweza?? Uninunulie Mercedes Zile Actros nataka ya kufanyia biashara iwe inaenda Dar - Congo
Mkuu ukitoa nifanyie japo buku...hali mbaya kakaNapajua kabisa hapo ila sijawahi kutolea hapo hela niko njiani
Upo Arusha ipi kama mnara wa saa huujui?Sipajui mkuu,hebu nipe ramani nami nije kudownload mapene.
Alafu ukute si kweli.Du...nimeumia kaka miaka 30 huyo ndo tushampoteza...hivi vitoto navyo vinafumuka vibaya....
hujambo binti?Haya basi karibu...
Tena anayefanyia bankMimi pia najivunia sana wewe kuwa rafiki yangu
Haya safari njema.Makapuku baadaeeee
HahahaaaaTena anayefanyia bank
Umeona eeeh...jamaa aliimba wanaokwenda jela si wote wana hatia....Alafu ukute si kweli.
Sijambo , mambo Ibra???hujambo binti?
Karibuduh Mbona najiona mi ndo head wa Makpuku sasa maana kama sifa zooote zinanihusu
safi tu mpendwa! mwenzio hajamboSijambo , mambo Ibra???
Itakuwa anaishi USA.Upo Arusha ipi kama mnara wa saa huujui?
Niko huku porini karibia na maeneo ya Ngarenanyuki.Upo Arusha ipi kama mnara wa saa huujui?
Na kweliItakuwa anaishi USA.
Au anajua pakitamkwa kwa kingreza
Sheikh Side MnyamweziNimeogopa hadi kulike....shehe!
Kweli mkuu,sometimes dunia haiko fair.Umeona eeeh...jamaa aliimba wanaokwenda jela si wote wana hatia....