Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,351
- 12,396
Nnililamba whitedent...jana usiku..na bado nipo vizuri..Umeswaki lakini
Maana ndo tabia yako kutoswaki
.......
Nnililamba whitedent...jana usiku..na bado nipo vizuri..Umeswaki lakini
Maana ndo tabia yako kutoswaki
.......
Nipo wakuu...nimebadili kwa muda tu. Nitairudia Avatar yangu pendwa.Ile ni avatar ya pambo tu profile linaonesha yupo km kawa(lakini sins uhakika labda ndo kapigwa rungu muda mfupi uliopita maana hana kawaida ya kubadili avatar)
NB:
Siyo kila avatar ya BANNED ni ban.....wengine wanaweka wenyewe km fasheni tu
..........
Sawa kapukuNnililamba whitedent...jana usiku..na bado nipo vizuri..
Ndo nilichohisi maana wapo wengi tu huweka hivyo km fasheni tuNipo wakuu...nimebadili kwa muda tu. Nitairudia Avatar yangu pendwa.
yap ni kweli mkuu.Ndo nilichohisi maana wapo wengi tu huweka hivyo km fasheni tu
.....
Humu tu -wazimaHabarini za humu
HayaKariakoo
Wanafanya kazi saa 24 na wanapika chini ya mikorosho na minazi
Njema, uko poa!Habarini za humu
Amen dadaYaan bukher wa afya
Mzee gari itakuwa inapiga stata ndo maana anatafuta wife ka daz Baba
Tumefikia tamati ya magazeti ya leo kwa udhamini mnene wa mrembo wa wiki na sio mwingine bali ni.....Ukhuty
HAYA bwanaTumefikia tamati ya magazeti ya leo kwa udhamini mnene wa mrembo wa wiki na sio mwingine bali ni.....Ukhuty