Hivi wale watu wa Manchester ile ya shamba walipita hapa?
Sio kwangu tu kila post ya KAPUKU au inayosupport Kapukuz
KaLIKE na comment za Kapukuz wengineNimeshadondosha kwenye comment yako kisha nikasepa zangu kimya kimya
Sio kwangu tu kila post ya KAPUKU au inayosupport Kapukuz
Mi nishafanya hivyo
..........................
Mmmh mbona mi sikuona post ya kapuku yoyote pale ?? mi niliona wapo wenyewe kwa wenyewe wanatajana tu?? Basi ngoja niende tenaSio kwangu tu kila post ya KAPUKU au inayosupport Kapukuz
Mi nishafanya hivyo
..........................
Rudi kuanzia ulipoishiaMmmh mbona mi sikuona post ya kapuku yoyote pale ?? mi niliona wapo wenyewe kwa wenyewe wanatajana tu?? Basi ngoja niende tena
poa chief niaje?Habari za asubuhi wajameni.
Salama kabisa kaka.poa chief niaje?
Kumbe waliongezeka acha nikadondosheRudi kuanzia ulipoishia
Wapo kina amazing..young blood..EMMYGUY n.k
........................
Loh hayaKaLIKE na comment za Kapukuz wengine
Umewasahau
......................
Tunapeana LIKE mbele ya macho yao halafu tunawakaushia mpaka waone NOMALoh haya
daah kwema mzee, michakato inaendaje pande hizo?Salama kabisa kaka.
Habari ya wewe.
Done,Tunapeana LIKE mbele ya macho yao halafu tunawakaushia mpaka waone NOMA
.....................
Michakato iko sawa sanaaadaah kwema mzee, michakato inaendaje pande hizo?
Michakato iko sawa sanaaa
Comment 1 inawatosha hakuna haja mtu kucomment MORE THAN ONCE ....ni kuupaisha Uzi wao bila 7buDone,
halafu youngblood kanifurahisha nimeshindwa kujizuia kimquote mi naee