Makanisa sita yachomwa moto Bukoba

Judi wa Kishua

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
1,066
1,047
Leo kwenye Channel 10 zaidi ya habari wameonyesha taarifa maalum kuhusu uchomwaji wa makanisa mjini Bukoba ambapo mpaka sasa yamefikia makanisa sita.

Mkuu wa jeshi la polisi asema wananchi wasaidie kuwafichua wahusika.

Mbunge wa Bukoba balozi Hamis kagasheki anasema wanaochoma wanataka kuwasingizia waislam ila yeye anawajua.

Wamechoma makanisa ya madhehebu karibia yote.

Sielewi nini kinaendelea kwa kweli taifa na dunia juu ya imani tupo kwenye mtihani mkubwa.

Chanzo: channel 10 Habari saa 1 usiku.
 
Mmmmh hatari sasa mhe. Kama anawajua sasa si aende akaripoti polisi analeta mambo ya zito kuwa anayajua majina ya watu walioweka Pesa uswis na prof jakaya eti anawajua wauza unga wotee had I Leo ujinga tuuu
 
Leo kwenye Channel 10 zaidi ya habari wameonyesha taarifa maalum kuhusu uchomwaji wa makanisa mjini Bukoba ambapo mpaka sasa yamefikia makanisa sita.

Mkuu wa jeshi la polisi asema wananchi wasaidie kuwafichua wahusika.

Mbunge wa Bukoba balozi Hamis kagasheki anasema wanaochoma wanataka kuwasingizia waislam ila yeye anawajua.

Wamechoma makanisa ya madhehebu karibia yote.

Sielewi nini kinaendelea kwa kweli taifa na dunia juu ya imani tupo kwenye mtihani mkubwa.

Source channel 10 Habari saa 1 usiku.

Mungu saidia TANZANIA, saidia na watu wake

Hiyo habari ni ya siku nyingi acha kuchafua jukwaa.
Kama hii habari ni ya cku nyingi kama anenavyo mjumbe nilipokoleza ntakudharau sana mleta mada.Kwani ni bandiko ambalo linaweza kuleta taharuki ,mtafaruku na kutokuelewana ktk jamii.

Tatzo liko wapi sasa? Ina maana ww husomi vitabu vya mwaka 1990?
 
Huo ni uchokozi wa baadhi ya watu inabidi tuwe makini sana la sivyo tunaweza kuingia kwenye matatizo makubwa ya kidini
 
Leo kwenye Channel 10 zaidi ya habari wameonyesha taarifa maalum kuhusu uchomwaji wa makanisa mjini Bukoba ambapo mpaka sasa yamefikia makanisa sita.

Mkuu wa jeshi la polisi asema wananchi wasaidie kuwafichua wahusika.

Mbunge wa Bukoba balozi Hamis kagasheki anasema wanaochoma wanataka kuwasingizia waislam ila yeye anawajua.

Wamechoma makanisa ya madhehebu karibia yote.

Sielewi nini kinaendelea kwa kweli taifa na dunia juu ya imani tupo kwenye mtihani mkubwa.

Source channel 10 Habari saa 1 usiku.
Very very sad.
 
Hivi mbona hatusikii misikiti imechomwa? au Wakristo wao hawaruhusiwi kuabudu!? kwanini lakini? Eee Mungu kama uishivyo moto wa kimbingu ukashuke kwa kasi ya ajabu kwa wote waliohusika na unyama huo, pamoja na wale walioratibu hilo tukio popote walipo ktk jina la Yesu Kristo..!!
 
Leo kwenye Channel 10 zaidi ya habari wameonyesha taarifa maalum kuhusu uchomwaji wa makanisa mjini Bukoba ambapo mpaka sasa yamefikia makanisa sita.

Mkuu wa jeshi la polisi asema wananchi wasaidie kuwafichua wahusika.

Mbunge wa Bukoba balozi Hamis kagasheki anasema wanaochoma wanataka kuwasingizia waislam ila yeye anawajua.

Wamechoma makanisa ya madhehebu karibia yote.

Sielewi nini kinaendelea kwa kweli taifa na dunia juu ya imani tupo kwenye mtihani mkubwa.

Source channel 10 Habari saa 1 usiku.
Kwanini asiwasema na anaanza kujishuki? Wasiwasi wa nini Yakhe. Wenye akili wanafahamu ni wapi na kitabu gani kinasema kuwa Allah hana urafiki na Wakristu na Wayahudi.
 
Leo kwenye Channel 10 zaidi ya habari wameonyesha taarifa maalum kuhusu uchomwaji wa makanisa mjini Bukoba ambapo mpaka sasa yamefikia makanisa sita.

Mkuu wa jeshi la polisi asema wananchi wasaidie kuwafichua wahusika.

Mbunge wa Bukoba balozi Hamis kagasheki anasema wanaochoma wanataka kuwasingizia waislam ila yeye anawajua.

Wamechoma makanisa ya madhehebu karibia yote.

Sielewi nini kinaendelea kwa kweli taifa na dunia juu ya imani tupo kwenye mtihani mkubwa.

Source channel 10 Habari saa 1 usiku.

Picha vipi viongozi mbona sioni kitu
 
siku zote dini ya amani huonekana kwa misingi ya amani,upendo na matendo mema sasa unaweza ukaaona dini za shetani ni zip?na walio huko hawaoni hata kwa macho ya kawaida!!sasa uwachomee wenzio kanisa kama ww ni nani ww mungu au malaika!!IVI AWA WANAOKUFA KWANINI HAWARUDI WANGEWASIMULIA YANAYOWAPATA UKO KWA CHUKI ZAO KWA WENGINE!!
 
kwa nini wasichome miskiti kwa nini makanisa tuu wanataka nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom