TANZIA Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Gharibu Bilali afiwa na Mamake Mzazi

Duh!!

Ukisikia kuna watu wanakuwa blessed kila upande, ndo hawa sasa...

Yaani uzee wote huo bado alikuwa ana-enjoy kampani ya Mama Mzazi?!

Kwa watu wa Far East, ni kawaida sana lakini akina sie, dah! Ukifika 50 na bado Bi Mdhashi yupo, ni jambo la kushukuru!!

Anyway, pole sana Daktari wa Fizikia...

Moja ya Vichwa Bora kupata kutokea lakini akakiingiza kwenye siasa...
Far East??
Waswahili au watu wa pwani hawana stress na maisha.
 
Huyu mpango kafiwa na kakaye juzi mara kaenda unguja kwenye msiba usiomhusu
 
Back
Top Bottom