Wapendwa wan JF wenzangu, nimesoma gazeti moja la nyumbani TZ nikachanganyikiwa, kwanza kusikia makamu wa rais mzee wetu Dr Shein anakwenda kugombea urais zanzibar. Hilo pia nikaishia kukubali kuwa ni wazo lake kuwa rais.
HOJA YANGU YA MSINGI HAPA NINAYOOMBA MICHANGO YENU NI HII; Kipindi cha miaka mitano ya Mungwana tumeona madudu ya kutisha na ombwe kubwa la uongozi, Ufisadi, wizi na matumizi mabaya ya ofisi za umma.
Nani anapaswa kuwa makamu wa rais next 5yrs? nadhani kwa kina awe na sifa zifuatazo,
1. Asiwe ni mtu mwenye ukaribu na mafisadi papa,(This outsmart, Zakhia meghji)
2. Awe ni visionary persoanality na mwenye staha ya uongozi (It calls upon Dr Salm ahmed salim)
3. Asiwe mtu mlaini katika kupewa habari bali afuatilie(outsmarts Karume)
4. Should have intergrity in work records(Dr Salim is called for).
Kwa vigezo hivi vichache nadhani aliyekomaa ili aweze kumwamsha rais ni Dr Salim, lakini mafisadi watakubali kukatiwa mirija yao?
Tukisema inawezekana tutaweza na tusibaki nyumba , tuchambue mambo hapa.