Manta
Member
- Jun 4, 2008
- 45
- 3
A bill forcing mobile phone operators to be listed at DSE passed
JIANG ALIPO, 29th January 2010 @ 10:45, Total Comments: 0, Hits: 171
The parliament has just passed a bill that will force mobile phone operators to be listed in local stock markets, such as the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE).
Tabling the Electronic and Postal Communications Bill of 2009 in the parliament this noon, the Minister for Communications, Science and Technology, Prof Peter Msolla said that listing stock market is expected to increase participation of more people in the economy.
Moreover, the bill will also force mobile phone operators to share infrastructure, thus reduce costs of investment and costs of doing business for mobile phone operators.
Kuna hoja kwamba kulazimisha makampuni ya simu za mikononi kuingia kwenye soko huruzi (DSE) ni kuingilia maamuzi ya makampuni binafsi na inapunguza ushindani wa kibiashara. Kwa maoni yangu hoja hii haina nguvu kwani makampuni haya yanauza shares zoa kwa masoko huzia ya nje.
Nafikiri uamuzi huu umekuja wakati muafaka kwani baishara ya simu za mikoni in faida kubwa and it is high time watanzania wapate nafasi ya kununua shares za haya mashirika. Serikali ya Kenya wamejipanga vizuri kwani wana share kubwa Safaricom na wanapata faida kubwa kwani Saficom ni kama mgodi wa dhahabu. Serikali ya bongo ingetakiwa kuiga jamaa zetu wa Kenya kwa sala hili. Penging mswada huu wa sheria ya simu kulazimishwa kuuza share DSE ni kurekebisha mapungufu yaliyofanya na serikali katika swala zima la mawasiliano ya simu. Kwa hili, Bravo wabunge wetu.