Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,238
Nilikua kwenye msiba leo,kumuaga baba wa rafiki yangu.
Kilicho nishangaza na kunisikitisha (sio mara ya kwanza kuona),
ni tabia hii ya kufotolewa picha msibani,
mara mwingine anapita na kamera yake ya video.
Watu hawa kwanza ni wasumbufu kupita pita mbele ya watu wanao tafakari
mambo mbali mbali katika kipindi kama hicho cha majonzi.
Pili,hii ni sawa na kuwaongezea watu machungu kila watakapo ona
picha na video hizo.Dada mmoja akiwa mbele yangu alikataa kupigwa picha,
mpiga picha alimwambia "ni kumbu kumbu tu",....kumbe sikuwa mwenyewe
ninae boreka na tabia hii.
SIIPENDI.
Sijui nyie mme izoea vipi au mnaichukuliaje.