Makame Mnyaa Mbarawa in brief

Professor Mbarawa has published 45 of articles in national and international journals and presented 36 scientific papers in various conferences.

Siyo kipimo uanasiasa!! Mafanikio kwenye academics siyo lazima iwe ni (kielelezo?) cha utendaji mzuri kwenye uongozi. Sarungi alikuwa na articles zaidi ya 200 na hatukuona cha ajabu - na hatimaye akaja akaangushwa na Std 7 (yule mbunge wa Rorya).
 
Mkuu,
mimi namshangaa, ndiyo sababu nimem-brand kama opportunist anae elekea kuwa looser.. Nadhani alihitaji muda zaidi kwenye profession yake..Jamani, sometimes, profession ina raha zake.
Amejitosa kwenye kinyanganyiro cha uwakilishi kwao Pemba--wamemtosa--Sasa amekumbukwa, anaenda kuwa chini ya command ya akina Makamba et al. Makamba na publications wapi na wapi!! huko hakuna hayo--muhimu kwao ni majungu, uongo, uzandiki, uchakachuaji, umafia, na yanayofanana na hayo!!

Ahasante jamaa ni msomi. Ila nimeondoa ile message kwa sababu ile attachment ni paper ambayo sina ruhusa kudistribute. Kama ulishadownload poa. Kweli jamaa ana shule nzuri nashangaa kichaa cha politics kapata wapi kwenda kujiunga na watu ambao hata kiingereza hawajui (Refer moja ya thread hapa jamvini
 
Huyu jamaa akipewa uwaziri wa nishati na madini anaweza kutusadia, hasa katika sector ya nishati mbadala. Akibaki kuwa mbunge tu ni matumizi mabaya ya mtaalamu may be CCM wanamikakati ya 2015.
mkuu,mi nafikiri kuwa waziri,na hali yeye ni mtaalamu aliyebobea,hawezi kutupa msaada mkubwa sana.angeingia sehemu atakayoweza kutoa mchango kutokana na utaalamu wake.hawa ndo wameihujumu nchi yetu,wamesomeshwa na kodi za wananchi,wanaingia mitini!
 
CV is immaterial kama mtu huna output. Paper 45 kwa prof kama huyo bado sana maana kawa na MSc mie kabla sijamaliza form VI!!! Halafu kubwa kabisa hawa CCM waliosoma hakuna aliye pata uwaziri akawa productive hata kama ana PhDau Professor!! Mifano mizuri tunayo. Angalau kidogo Dr Pombe yeye pamoja na mapungufu yake angalau kila alipokwenda tumesikia mambo yakienda. Baada ya kutoka Miundo Mbinu angalia miundo mbinu alipewa Mramba kila kitu kilisimama, kapewa jamaa yetu Shukuru ndiyo kabisaaa blabala tupu utadhani siyo engineer kwa ujumla "CCM haina wasomi watendaji". kazi ni ndiyo mzee ndiyo mzee kwisha . Kwa hiyo hata huyu jamaa hakuna kitu tena ndiyo kabisaaa.
 
Mechanical engineer awa mbunge! Duuh! Anyway we need to add value to this country.
 
Nyie watu humu ndani msijifanye mko perfect sana, mbona slaa ana phd tena ya kuchakachua na bado mnamsifia kila siku. Huyu Prof laiti angekuwa chadema mngekuwa mnashangilia kupita kiasi humu ndani. Hebu tuache upendeleo bwana. Mtu mwenye CV nzuri acha apate cheo.
Kwa nchi kama TZ ambayo bado wananchi wake kwa wingi ni wazembe ni vigumu msomi kuonyesha taaluma yake ndo maana kina mwandosya na wengineo hawaonekani. Tusiwalaumu wasomi wetu tulaumu system mbovu ambayo maamuzi ya muhimu hutolewa na kakikundi ka watu fulani tu.
Ni bora huyu msomi aende bungeni kuliko hao waliokwenda kwa kuchaguliwa kwa bahati na hawajui hata SADC nini. Hata kizungu mnasema hawajui na master's zao za mzumbe (MBA) ambazo sasa ni kama Std 7 certificate.
 
Wadau kwa kifupi huyu ndo Prof. Makame Mbarawa. The guy looks really good, ngoja tusubiri huko bungeni, labda atabadili sura ya researches nchini.

Professor Makame Mbarawa is a holder of a MSc Marine Engineering degree (Astrakhan State Technical, University, Astrakhan- Russia, 1992) and PhD of the University of New South Wales, Sydney, Australia (1999). He joined Tshwane University of Technology, Pretoria, South Africa as a Senior Lecturer in the Department of Mechanical Engineering. He was promoted to the position of Associate Professor in October 2005 and finally to that of Full Professor in July 2009. Professor Mbarawa’s research interests are combustion of gaseous, Flue gas desulphurization, Filtration combustion in porous media; Soot formation in laminar diffusion flames; Alternative fuels and Renewable energy resources; and Biomass combustion. Over the years, Professor Mbarawa has published 45 of articles in national and international journals and presented 36 scientific papers in various conferences.

Kama una more info zilete hapa tuweze ku justify uteuzi wa JK.

Sijaelewa amekosa nini huko kwene fani yake..Miafrika bana, sasa kwanini alipoteza muda wake kutafuta midigirii halafu unaishia kujipanga na kina Prof. Maji Marefu, Malaria Sugu et al.?

Inakera sana
 
Maprofesa na Madaktari wa Falsafa wengi wanaingia kwenye siasa kwa sababu ndiko kwenye mlo. Wakati Mkuu wa Wilaya anatanua kiaina, Profesa anaambiwa akaze mkanda sawa na mlalahoi. Kwa hiyo, wale wanaothamini elimu yao hukimbilia nje, na wanaobaki ndani wanajimwaga katika siasa, na wataendelea kufanya hivyo mpaka pale TZ itakpothamini elimu. Siwalaumu.
 
Wewe ndo umewapa jibu wajinga wengi humu JF.
 
Sijaelewa amekosa nini huko kwene fani yake..Miafrika bana, sasa kwanini alipoteza muda wake kutafuta midigirii halafu unaishia kujipanga na kina Prof. Maji Marefu, Malaria Sugu et al.?

Inakera sana

We unataka nani awe mwanasiasa? tueleze sifa za mtu anayefaa kuwa mwanasiasa hapa TZ. Popote pale duniani wanasiasa ni wasomi tena sana, tofauti duniani huko watu wengi hawaitani Dr au Prof.
Acha wivu wewe, struggle for ur own good n not curse others for their being brilliance.
 
We unataka nani awe mwanasiasa?
tueleze sifa za mtu anayefaa kuwa mwanasiasa hapa TZ. Popote pale duniani wanasiasa ni wasomi tena sana, tofauti duniani huko watu wengi hawaitani Dr au Prof.
Acha wivu wewe, struggle for ur own good n not curse others for their being brilliance.
Sina wivu na ubunge wa viti maalum..thats for sure.Nina mwili na akili timamu..na sina definition potofu ya kuwa brilliance kama wewe. Idea tu ya ubunge wa kuteuliwa is moronic in itself, achilia mbali kuchukulia eti ni virtue of brilliance.

Pili, hoja yako kwamba 'wanasiasa pote duniani wamesoma sana', is simply idiotic and simplistic. Kwa takwimu tu, nilitee takwimu hata za bunge la hivi sasa, unioneshe wangapi (nakunukuu) wamesoma sana,then urudi hapa tukusikize.

Tatu, na mwisho, sijasema popote wasomi wasiwe wanasiasa..my impression ni kwamba huyu Prof. alikuwa na nafasi nzuri zaidi ya kuleta mchango wake kwa taifa kupitia ujuzi wake, ambao nadhani ilmu na uzoefu wake ni adimu na adhimu kabisa, badala yake anaamua kujimeza ktk dysfunctional machine of bongoland politics. IMO, thats is not being brilliance.
 
shule hiyo ina mantiki gani angepewa miradi yagas huko mtwara ,sasa haposhule yake imekwenda na maji.

Pia watu waliosoma tunao ,tatizo la uongozi wetu sio usomi tena ni utawala bora pasna ufisadi
 
Abdulhalim nakukushukuru kwa kuwa constructive. Kwa mfumo wetu wasomi ktk siasa hawana fursa ya kuisaidia jamii kupitia elimu zao hata ziwe nzuri na kubwa kiasi ziwe ni za oxford au Harvard au SUA. Tuna mfano mingi tu Kamaa Chenge Sarungi nk wameingia ktk siasa wameend up kuwa watu hopeless. Kuna Prof anaitwa Kapuya kwa sababu yuko mahali pasipo ukimsikiliza utafikiri hajaenda shule.

Mamanalia anachoongelea ni hali halisi iliopo kuwa kuna maslahi mazuri bungeni nk. Hilo si jambo la kushabikia tunachosema wengi hapa jukwaani ni paradigm shift. Tutoke sasa kwa huu utaratibu wa wataalamu kuingia/kuingizwa ktk siasa ambako ni wazi fani zao hazitokuwa na tija kwa wananchi isipokuwa kwa familia zao. Mimi sidhani kama watu wanapambana na uProfesa wa mtu bali wanachosema ni bora ukamlipa huyo Prof maslahi ya kibunge ili afanya kazi pale UDSM au chuo kikuu cha Zanzibar kuliko kuwa mbunge au Waziri ktk wizara yeyote ile ktk serikali zetu. Nawasilisha
 
I hope abdulhalim has got this useful.
 
He is CCM.

Though I hate CCM bt I v liked this guy's CV. Congrats to him. tunamkaribisha kwa wapiganaji.

Sasa wewe unafikiri huyo Prof. ataisaidiaje Tanzania kwa kuwa bingwa wa hayo mambo yaliyomo kwenye CV yake? Au unapenda tu hiyo CV bila sababu? Prof. Sarungi, Kapuya, Mwandosya wametoa mchango gani ambao ni significant katika maendeleo ya nchi yetu mpaka sasa? Hilo ni bao la kujifunga - Zakia, Nahodha, na huyo Prof. Makame.
 
CV is immaterial kama mtu huna output. Paper 45 kwa prof kama huyo bado sana maana kawa na MSc mie kabla sijamaliza form VI!!! Halafu kubwa kabisa hawa CCM waliosoma hakuna aliye pata uwaziri akawa productive hata kama ana PhDau Professor!! Mifano mizuri tunayo. Angalau kidogo Dr Pombe yeye pamoja na mapungufu yake angalau kila alipokwenda tumesikia mambo yakienda. Baada ya kutoka Miundo Mbinu angalia miundo mbinu alipewa Mramba kila kitu kilisimama, kapewa jamaa yetu Shukuru ndiyo kabisaaa blabala tupu utadhani siyo engineer kwa ujumla "CCM haina wasomi watendaji". kazi ni ndiyo mzee ndiyo mzee kwisha . Kwa hiyo hata huyu jamaa hakuna kitu tena ndiyo kabisaaa.

Mkuu huko sawa wengine tumesema ni Professor maji marefu kwa sababu hizo 45 uki-google angalau kutafuta CV yake sana sana tumepata kuwa amejulikana baada ya kuteuliwa kuwa Mbunge vinginevyo alikuwa hana chochote sijui hizo 45 ni za miti shamba?
 
Back
Top Bottom