Silas Haki
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 368
- 39
Anawaandalia kaburi la kuizika CCM ili ikapumzike mahala pabaya kuzimuni. Vifungu vya Biblia anavyotumia ni vya biblia aliyokuwa anaitumia Shetani alipokuwa anamjaribu Yesu kuwa "Imeandikwa -----" Shetani alipokuwa anasema imeandikwa alikuwa anarejea kwenye Biblia yake na hiyo ndo anayotumia Makamba kwa sasa.Hatimaye yule bingwa wa kunukuu vifungu vya bibilia na misahafu aliyekua katibu mkuu wa chama cha mapinduzi bwana Yusufu Makamba ametoa mpya kua watu wasimshangae amejiuzulu ukatibu mkuu na akanukuu vifungu vya bibilia takatifu akamnukuu Yesu aliposema wacha mimi nakwenda kwa baba yangu kuwaandalia makao mapya! kwa hiyo na yeye ameng'atuka ukatibu mkuu na anakwenda kuwaandalia makao mapya sijui alikua ana maana gani huyu baba kusema hivyo na anakwenda kuwaandalia kina nani hayo makao mapya?