Makamba: niko tayari kujibu matusi mkinihitaji

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
Aliyekuwa katibu mkuu wa CCM Yusufu Makamba amemtaka Rais Kikwete kutomsahau na kwamba pale atakapoona anafaa kama ni kwenda kujibu matusi yupo tayari kufanya hivyo.

Awali, akifunga kikao cha NEC-CCM, jana usiku mjini hapa, Rais Kikwete alisema kazi iliyopo mbele yao hivi sasa ni kujenga chama na kwamba wamekubaliana kujibu matusi ya wapinzani badala ya kutuma ujumbe mfupi wa simu kwake.

Source: Mwananchi
 
[Makamba atawezaje kujibu matusi wakati yeye mwenyewe tusi?]
Inasikitisha sana nadhani anatafuta pakuzikiwa na tarime wameapa hawataki kumuona tena
 
Niliona kwenye video mojawapo wananchi wa Mara walimlalamikia Makamba kuwa alipokwenda huko, walimyooshea vidole viwili (alama ya CDM?). Yeye aliwajibu kwa kuwanyooshea kidole cha kati. Nilivyoona vile nilshangazwa sana na kima cha heshima cha mzee huyu alicho nacho hata kudiriki kunyooshea watu kidole cha kati! Sishangai basi kusikia kuwa leo hivi yuko tayari kujibu matusi.
 
Hatimaye yule bingwa wa kunukuu vifungu vya bibilia na misahafu aliyekua katibu mkuu wa chama cha mapinduzi bwana Yusufu Makamba ametoa mpya kua watu wasimshangae amejiuzulu ukatibu mkuu na akanukuu vifungu vya bibilia takatifu akamnukuu Yesu aliposema wacha mimi nakwenda kwa baba yangu kuwaandalia makao mapya! kwa hiyo na yeye ameng'atuka ukatibu mkuu na anakwenda kuwaandalia makao mapya sijui alikua ana maana gani huyu baba kusema hivyo na anakwenda kuwaandalia kina nani hayo makao mapya?
 
I truly belived that under normal circumstance the Old Man would need a cool time out(Retire). Sasa haya maneno yanamaanisha bado anataka kazi.. This is lack of Wisdom at a very critical stage(Uzeeni). This type of people wish that they are moved from office chairs to their Graves.
 
Najaribu kutafakari endapo huyu jamaa angekua ni mbunge wa jimbo fulani sijui bungeni pangekuaje?
 
Niliona kwenye video mojawapo wananchi wa Mara walimlalamikia Makamba kuwa alipokwenda huko, walimyooshea vidole viwili (alama ya CDM?). Yeye aliwajibu kwa kuwanyooshea kidole cha kati. Nilivyoona vile nilshangazwa sana na kima cha heshima cha mzee huyu alicho nacho hata kudiriki kunyooshea watu kidole cha kati! Sishangai basi kusikia kuwa leo hivi yuko tayari kujibu matusi.

Hee heee! I believe u. I think its funny. I bet aliyenyoosha alama ya Chadema mwenyewe alinywea.

Seriously, humu ndani mko obsessed na Makamba. There is at least a Makamba thread (either Janu, Yusuf or Mwamvita) at any given time in this forum. You really do not have anything else to discuss? Au ndio yale mti wenye matunda ndio unatupiwa mawe?
 
Hayo matusi na mipasho acompose song ampe capt komba na hadija kopa waimbe TOT
 
Labda makao Kuzimu...ameacha panya wamekula sumu wanajibanza kona tunasubiri uvundo..mfa maji haeshi kutapatapa
 
Niliona kwenye video mojawapo wananchi wa Mara walimlalamikia Makamba kuwa alipokwenda huko, walimyooshea vidole viwili (alama ya CDM?). Yeye aliwajibu kwa kuwanyooshea kidole cha kati. Nilivyoona vile nilshangazwa sana na kima cha heshima cha mzee huyu alicho nacho hata kudiriki kunyooshea watu kidole cha kati! Sishangai basi kusikia kuwa leo hivi yuko tayari kujibu matusi.

duh huyu mzee kiboko,it's no wonder ndio maana alikibaka kidenti cha primary,kapinda mzee huyu
 
Huyu anabwabwaja bila kuwa na substane yoyote kwenye maneno yake hasa kwenye serious issues zihusuzo nchi/ taifa.
 
Mmmmmhh huyu anaenda kuanzisha chama, lazima itakua hivyo maana kila alieondoka ameondoka kwa visa visa tu
 
nafikiri amekua obsessed, zamani wakati mkuu wa mkoa alijizolea umaarufu kwa kunukuu vifungu vya Biblia tofauti ni kwamba sasa hivi ananukuu tu hata kama hai-make sense, yeye anahisi kwa kunukuu tu vifungu ule umaarufu utakuja
 
halftime imeshaisha ngoja niendelee kuangalia tunavotoa kichapo kwa carlo
 
Hatimaye yule bingwa wa kunukuu vifungu vya bibilia na misahafu aliyekua katibu mkuu wa chama cha mapinduzi bwana Yusufu Makamba ametoa mpya kua watu wasimshangae amejiuzulu ukatibu mkuu na akanukuu vifungu vya bibilia takatifu akamnukuu Yesu aliposema wacha mimi nakwenda kwa baba yangu kuwaandalia makao mapya! kwa hiyo na yeye ameng'atuka ukatibu mkuu na anakwenda kuwaandalia makao mapya sijui alikua ana maana gani huyu baba kusema hivyo na anakwenda kuwaandalia kina nani hayo makao mapya?

aliwaambia ati "msifadhaike"

mgosi vituko yule!!
 
Back
Top Bottom