Idofu
Senior Member
- Oct 24, 2022
- 108
- 187
Ujio wa Makamba katika Wizara ya Nishati na Maharage Chance pale Tanesco,baadhi ya watu hawakulipenda hilo iwe ndani ya CCM na nje ya CCM,lakini chuki kubwa ilikuwa ndani ya CCM!!
Tatizo kubwa ndani ya CCM,Kuna baadhi ya Viongozi hawaridhiki na nafasi walizo nazo,wanatamani kila nafasi wawemo,na ndio hao hao wanamyumbisha Mh.Rais!!
Haya sasa, wote hao hawako huko, tuone Kama haya matatizo ndani ya Tanesco yatafika Mwisho ndio maana Mh. Rais amemteua Waziri mpya wa Nishati na kuumpa Naibu Waziri Mkuu.
Ni wakati gani Waziri wa Nishati atasimama kama Waziri na wakati gani atasimama Kama Naibu Waziri Mkuu, hilo tunawaachieni wazee wa chokochoko ndani chama na wapambe wenu ili akili iwakae sawa na mkijichanganya tu imekula kwenu.
Matatizo makubwa ya Tanesco hayawezi kuwa ndani ya Waziri na Mtendaji Mkuu, tumuache Mh. Rais akishateua watu wake ambao yeye anawaamini, tuwaache wafanye Kazi na sio kuleta nongwa.