SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,703
- 60,771
Ndani ya CCM kuna block mbili kubwa, mafisadi na wapinga ufisadi. Hoja kwa wana Bumbuli, hivi Yusuf Makamba yuko katika kambi ipi? Nafikiri umefika wakati watanzania tukachukua hatua za kulikomboa Taifa letu toka mikononi mwa mafisadi, sasa kwa wale waliojipambanua kuwa ni mafisadi au mawakala wa mafisadi kama alivyo YM, ni vema wakatupwa nje ya mfumo wa utawala wa nchi yetu. Huyu dogo Januari anafadhilwa na marafiki wa Mzee Mkamba ambao ni mafisadi papa, itakuwa kosa kubwa kwa wagosi wenzangu wa Bumbuli kuchagua mtu ambaye anatoka katika kundi hatari linaloifukarisha nchi yetu, licha ya ukweli kuwa huyu siyo mwenzetu