Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 88
Mkuu Buricheka,
Hata kama Kelly ana mahusiano na JM, je kuna kosa lolote kwa yeye kutoa maoni yake hapa? Ni vizuri kuongea utendaji wa JM lakini pia sioni kama ni vibaya kwa mtu anayemfahamu vizuri JM (kwa mfano - rafiki yake) kutoa maoni yake kumhusu.
Thank you mwafrika...umenena manake kila mtu anafikiria wrong miye kumpigia debe JM.....Inamaana wanaume waliokuwa wanampigia debe Hilary Clinton nao walikuwa na mahusiano?.....au ni vile tuu unavyoona utendaji wake wa kazi......
Yeah mwafrika you rock!.....
Kelly
Unaona sasa kila mtu anajua ume-du na January hahahahah uwiiii nataka kufariki....!
shem shem!...lol!...umekuwa shabiki maandazi mwangalie......kichwa kibaya kama changu hahahaha!>....Love is wicked
Kosa ni kwamba, unapoanza kumuongelea mtu yeyote yule mbele za watu, kutoa uchambuzi wa kazi yake au tabia yake, kama una uhusiano nae wowote ule, mapenzi, ushemeji, urafiki, sema mapema!
Sema mapema.
Inaitwa fair disclosure.
Ili tusije kugundua baadae kwamba kumbe Kelly01 ana uhusiano wa kirafiki na January ndo maana anamfagilia.
Anapalilia mlo?
Sasa leo Kelly01 atatutajia, January Makamba amefanya nini kizuri kazini. Aseme kimoja!
Bulicheka...suikonde mwanawane....JM ni friend just like you and everybody else....nilicheka tuu kuona jinsi mlivyo interpret things...umeshanielewa....No miye hata nikiona weye wafaa pia nitakupigia debe...its all about kuona nani anafaa you know.....ni kijana mdogo ana upeo na very smart indeed....Mbona nampigiaga debe hata mwanakijiji jamani sema tuu mwanakijiji is far away from Tz....najua kuna vijana wengi tuu kuna wengine wako kwenye viti maalum kama akina Tom Apson alafu kuna demu mwingine pia yupo bungeni huko ila ndiyo hivyo wamepata viti alafu wako kimya hebu ngoja nikumbuke majina yao wale vijana wabunge wa vitu maalum....ooh yeah nimekumbuka yule mbunge wa viti maalumu na kijana tuu anaitwa Rosemary Kirigini....kuna wabunge wengi tuu siyo necessarily zitto tuu...mnaweza kuanza pigia debe hao.....just to name the few...
Last edited: